Nitajie beki bora wa kati kwasasa anayemzidi Ruben Dias wa Man City

Nitajie beki bora wa kati kwasasa anayemzidi Ruben Dias wa Man City

au ulimanisha kwa england pekee....

kumbuka onyango ni beki wa timu kubwa Africa mashariki na kati ... timu ya 13 kwa ubora Afrika na inshalaaah mwakani itakuwa timu ya 10 kwa ubora

Sawa bhana
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwasasa huyu ndio beki bora wa kati sio kwa ulaya bali duniani kwa mtazamo wangu. Beki mwenye matumizi makubwa sana ya akili, anajua kujipanga kwenye nafasi kwa muda sahihi, anafanya sana interception, rejea mechi ya jana ya Man City dhidi ya PSG.

Amewafanya hata mabeki wenzake wa Man City akina John Stones na Laporte warudi kwenye viwango vyao. Guardiola alifanya usajili sahihi sana hapa, na kwakuwa hakusajiliwa kwa mbwembwe, basi pia anafanya kazi yake kimyakimya.

Nitajie beki wa kati aliyebora kwasasa kumzidi Ruben Dias, karibuni kwa mjadala...
View attachment 1767804
View attachment 1767805
Vipi mkuu dhidi ya Man united?? Sijaona stats zake hapo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom