Nitajie chanel za bure za DStv

Nitajie chanel za bure za DStv

antena ndugu yangu zile chenga nitaweza

Hakuna chenga, Quality ni ile ile. Nowdays wameboresha signals kama zote. Tofauti na DSTV wakikata wanakuachia channel zenye quality ya simu ya tecno makusudi.

Sishauri mtu anunue DSTV kwa kigezo cha kupata local channels.
 
Hakuna chenga, Quality ni ile ile uliyolipia. Tofauti na DSTV wakikata wanakuachia channel zenye quality ya simu ya tecno makusudi.

Sishauri mtu anunue DSTV kwa kigezo cha kupata local channels.
Kwan antena had sasa zinapatikana dukani au ni zile za zaman
 
Kwan antena had sasa zinapatikana dukani au ni zile za zaman
images-1.jpeg


zimcompass-product_f611638433991835921721.jpg


Maduka yote yanayouza vingamuzi hivyo wana hizo antena. Nunua antenna zenye shepu hiyo. Zinadaka signal za HD vizuri bila scratches. Na ving'amuzi vya antenna vimeboreshwa upande wa signal nowdays havisumbui kama zamani

Azam na startimes antenna.
 
Back
Top Bottom