Nitajie jina la lotion maalumu kwa kuondoa nywele kwapani bila kunyoa

Mkuu haya madawa sio mazuri basi tu ubishi mwingi
 
Viwembe vinatosha mkuu,kwann upate gharama na stress maishani?
 
Bla bla nyingi bei amweki taja bidhaa na bei yake tu thaminishe
 
Wewe jamaa unavichekesho sana kila nikiona comments zako nacheka tu!
Hii ndio jamii forum nadhani ina kila aina ya watu, huwa napenda kuwa na furaha muda wote sioni haya kama nawe utapata furaha niliyonayo.

Tuko pamoja kwenye hili lori hadi mwisho usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…