Nitajie jina la lotion maalumu kwa kuondoa nywele kwapani bila kunyoa

Nitajie jina la lotion maalumu kwa kuondoa nywele kwapani bila kunyoa

samahani, unaweza kuniambia u,enunulia wapi na bei yake kama ni dsm, maana kupata hizi cream kazi kweli
Dar cjui inauzwaje ila mm huku niliko nimenunua kwa 5600/- kwa pesa ya tz kwa huku ni sawa na 2 USD
 
Kuna siku nilitumia moja( siikumbuki jina) kunyolea nywele za southern hemisphere.. aisee... ilibaki kama miezi sita hivi nywele haikuota hata moja.. baadae ndo zikaanza tena kuota, niliogopa hadi nikaanza kusema i need my nanihii back... sitaki hata kuzisikia tena
Hahahahahaaaa you made my day
 
Ila izo cream nnavojua mwisho wake ni madhara,ni bora zaid ukafanya wax
 
chonde chonde waungwana, msipake hayo ma cream kwenye sehemu zenu za siri na hata wenyewe wameandika tatizo letu hatupendi kusoma maelekezo ya bidhaa, tunatumia tu kwa kua fulani anatumia.

Pitisha wembe wako ni njia salama kabisa.
Ndio maana ma cancer yanazidi siku hizi.
 
Back
Top Bottom