Nitajie jina la mti linaloanziwa bila herufi 'm'

Nitajie jina la mti linaloanziwa bila herufi 'm'

Ni swali nililoulizwa leo na bwana mdogo wa form one akaniahidi dhawadi ya bazoka nikipatia,nimepewa siku 2.Naombeni mchango wenu tugawane bazoka...!!!

*zingatia-liwe katika lugha ya kiswahili tu

huyo dogo mwambie ajifunze ngeli za majina akifikia hiyo topic atajua kwa nini miti huanza na herufi m...
 
ulishawahi kusikia mti ukiitwa tree?.
 
kisamvu, pitiku, uy0ga, kimvada, kinunga... Kifa u0ng0... Daaah mia kd0go jamani.!
 
Back
Top Bottom