Nitajie kampuni kubwa ya elektroniki ya zamani ambayo haitoki Japan

Nitajie kampuni kubwa ya elektroniki ya zamani ambayo haitoki Japan

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Kama kichwa kinavyosema,

Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
 
Huu ni wakati Wa kujadiliana vifaa vya umeme kutoka Tanzania.

Tupo uchumi wa kati, tukikaza kidogo tu tunakua daraja la kwanza!

Maendeleao hayana chama, wapinzani waritucherewesha sana ndugu zangu, huu ni muda Wa kupiga kazi kweri kweri!

Au nasema uongo ndugu zangu?

Na huu ndio ukweli.
 
Kama kichwa kinavyosema...

Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sanaaa. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?

1. Grundig

2. Philips

3. Bose

4. Bosch, etc

Kwa mtazamo wangu,
EU na US products ni expensive sana,
Sio sana kwa soko la huku kwetu, ndio maana labda products zao sio sana kuonekana huku Tanzania.

Zamani miaka ya 80s kurudi nyuma, hata hapa Tanzania ilikuwa nadra sana magari ya ki Japan.

Tofauti na sasa,
Magari mengi hapa nchini watu walimiliki European Cars, i.e Volkswagen, Peugeot, Citroen, Volvo, Landrovers, Fiat, etc

Siku hizi zimejaa gari za kijapan,
Toyota, Nissan, etc

Affordability!
 
Kama kichwa kinavyosema,

Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?

Phillips
 
EU na US products ni expensive sana,
Uko sahihi kabisa, mfano public address systems za kimarekani ni nzuri sana kupita za Japan, lakini ni ghali usiombe, you can not afford...kuna zingine zinakwenda mpaka milioni 50 Tzsh
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kama kichwa kinavyosema,

Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
Daaaa Mjapani aliteka Soko Aisee.

Sony
Sharp
Toshiba
Hitachi
Phillips
Matshushita(Panasonic)
JVC
Canon
Fujitsu
NEC
Samsung
LG
Pioneer.
 
Phi
Daaaa Mjapani aliteka Soko Aisee.

Sony
Sharp
Toshiba
Hitachi
Phillips
Matshushita(Panasonic)
JVC
Canon
Fujitsu
NEC
Samsung
LG
Piopneer.
Mkuu, Phillips ni wadachi siyo wajapan.

Everyday is Saturday................................😎
 
1. Grundig

2. Philips

3. Bose

4. Bosch, etc

Kwa mtazamo wangu,
EU na US products ni expensive sana,
Sio sana kwa soko la huku kwetu, ndio maana labda products zao sio sana kuonekana huku Tanzania.

Zamani miaka ya 80s kurudi nyuma, hata hapa Tanzania ilikuwa nadra sana magari ya ki Japan.

Tofauti na sasa,
Magari mengi hapa nchini watu walimiliki European Cars, i.e Volkswagen, Peugeot, Citroen, Volvo, Landrovers, Fiat, etc

Siku hizi zimejaa gari za kijapan,
Toyota, Nissan, etc

Affordability!
Mkuu hapo labda Bosch tu lakini nyingine sizijui. Lakini mbona mjapan anauza dunia nzima? Hata online unakutana nazo?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hapo Mkorea anajitahidi sana na Samsung na LG lakini zote hapo ni toka JP
Daaaa Mjapani aliteka Soko Aisee.

Sony
Sharp
Toshiba
Hitachi
Phillips
Matshushita(Panasonic)
JVC
Canon
Fujitsu
NEC
Samsung
LG
Pioneer.
 
Back
Top Bottom