Nitajie kampuni kubwa ya elektroniki ya zamani ambayo haitoki Japan

Nitajie kampuni kubwa ya elektroniki ya zamani ambayo haitoki Japan

Hivi vitu visikie tu mkuu, vinahitaji akili na uangalifu wa hali ya juu.

Sehemu ambayo silicon inatengenezwa ni safi kushinda hata ICU ya hospitali,

Hizo chemicals wa Japan wa naweza wao tu kuzitengeneza Dunia nzima.

Kati ya viwanda 10 vikubwa vinavyotengeneza viwanda 9 vipo Japan, leo ukitaka kuanzisha kiwanda chako kikubwa cha magari utaenda Japan wakutengenezee.

Ukija kwenye video games wapo, ukienda reli wapi kila kitu wapo.

Japan hadi vyoo ni smart, una bonyeza tu kila kitu vinafanya vyenyewe.
Hata mimi nilikua najiuliza kitu kama hiki,kwanini Japan iwe na viwanda vingi kuliko nchi nyingine, asante kwa jibu
 
Mamaeeeeee umekuja bingwa mtetezi wa league zote za jamii forum na dunia nzima[emoji16][emoji16][emoji16]
Lazima tuelekezane, kuna watu wamezaliwa enzi ya mkiloni, wengine enzi ya Nyerere, wengine enzi ya Mwinyi, wengine enzi ya Mkapa, mpaka waliozaliwa enzi ya Kikwete wamo humu.

Sasa kwa hao wote zamani haiwezi kuwa kitu kimoja.

Wewe unaweza kuona miaka ya 1980s ni zamani, kumbe mwenzako alishakwenda kupigana vita vya Kagera mwaka 1978, akiwa mtu mzima, yumo humu.Miaka hiyo anaona juzi tu.
 
Mwafrika hana kampuni hatamoja la kuunda hivyo vifaa, yani Taiwani wanalishinda bara zima la Afrika,tumerogwa na nani.
 
Telefunken, Aristona, Erres, Technics ndo Phillips mkuu sema ikiwa nchi tofauti tofauti i.e Belgium, Netherlands, Luxembourg etc ila kuna mnyama mkali mmoja anaitwa Grundig..
Grundig mjerumani huyu, kabla ya kuuzwa. Nimekua na Deki yao toka mtoto mpaka leo inapigwa tu na vumbi, bado nzima.
 
Picha mkuu tafadhali
Ipo nyumbani kwa wazazi siwezi piga sasa hivi Ila muonekano ni kama huu
grundig_diva_dvd_player_1530811842_81a88b37.jpg
 
1947 Kenneth wood set up a company,The Kenwood manufacturing company in his garage in the south of London UK,the company has passes through several owners since it's foundation.
Bro umechanganya kenwood ya uk na japan ni kampuni mbili tofauti kabisa na waanzilishi wake ni tofauti.

Kwenye page ya wikipedia ya kenwood limited kwa juu wameainisha kuwa.
"Not to be confused with the Japan-based manufacturer of audio equipment, Kenwood Corporation"
 
Telefunken, Aristona, Erres, Technics ndo Phillips mkuu sema ikiwa nchi tofauti tofauti i.e Belgium, Netherlands, Luxembourg etc ila kuna mnyama mkali mmoja anaitwa Grundig..
Mjerumani huyo
 
Back
Top Bottom