Hawa jamaa ni hatari sana, pasi zao ni pasi kweli.Philips
Kama kichwa kinavyosema...
Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sanaaa. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
Diagnostics machines wametishaaa!Philips
Kama kichwa kinavyosema,
Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
Uko sahihi kabisa, mfano public address systems za kimarekani ni nzuri sana kupita za Japan, lakini ni ghali usiombe, you can not afford...kuna zingine zinakwenda mpaka milioni 50 TzshEU na US products ni expensive sana,
Daaaa Mjapani aliteka Soko Aisee.Kama kichwa kinavyosema,
Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
Mkuu, Phillips ni wadachi siyo wajapan.Daaaa Mjapani aliteka Soko Aisee.
Sony
Sharp
Toshiba
Hitachi
Phillips
Matshushita(Panasonic)
JVC
Canon
Fujitsu
NEC
Samsung
LG
Piopneer.
Nimeorodhesha makampuni makubwa ya kielectronics hata LG sio mjapani ila kati ya hayo % kubwa ni WAJEPU.Phi
Mkuu, Phillips ni wadachi siyo wajapan.
Everyday is Saturday................................😎
Mkuu hapo labda Bosch tu lakini nyingine sizijui. Lakini mbona mjapan anauza dunia nzima? Hata online unakutana nazo?1. Grundig
2. Philips
3. Bose
4. Bosch, etc
Kwa mtazamo wangu,
EU na US products ni expensive sana,
Sio sana kwa soko la huku kwetu, ndio maana labda products zao sio sana kuonekana huku Tanzania.
Zamani miaka ya 80s kurudi nyuma, hata hapa Tanzania ilikuwa nadra sana magari ya ki Japan.
Tofauti na sasa,
Magari mengi hapa nchini watu walimiliki European Cars, i.e Volkswagen, Peugeot, Citroen, Volvo, Landrovers, Fiat, etc
Siku hizi zimejaa gari za kijapan,
Toyota, Nissan, etc
Affordability!