Nitajie kampuni kubwa ya elektroniki ya zamani ambayo haitoki Japan

Hata mimi nilikua najiuliza kitu kama hiki,kwanini Japan iwe na viwanda vingi kuliko nchi nyingine, asante kwa jibu
 
Mamaeeeeee umekuja bingwa mtetezi wa league zote za jamii forum na dunia nzima[emoji16][emoji16][emoji16]
Lazima tuelekezane, kuna watu wamezaliwa enzi ya mkiloni, wengine enzi ya Nyerere, wengine enzi ya Mwinyi, wengine enzi ya Mkapa, mpaka waliozaliwa enzi ya Kikwete wamo humu.

Sasa kwa hao wote zamani haiwezi kuwa kitu kimoja.

Wewe unaweza kuona miaka ya 1980s ni zamani, kumbe mwenzako alishakwenda kupigana vita vya Kagera mwaka 1978, akiwa mtu mzima, yumo humu.Miaka hiyo anaona juzi tu.
 
Mwafrika hana kampuni hatamoja la kuunda hivyo vifaa, yani Taiwani wanalishinda bara zima la Afrika,tumerogwa na nani.
 
Telefunken, Aristona, Erres, Technics ndo Phillips mkuu sema ikiwa nchi tofauti tofauti i.e Belgium, Netherlands, Luxembourg etc ila kuna mnyama mkali mmoja anaitwa Grundig..
Grundig mjerumani huyu, kabla ya kuuzwa. Nimekua na Deki yao toka mtoto mpaka leo inapigwa tu na vumbi, bado nzima.
 
1947 Kenneth wood set up a company,The Kenwood manufacturing company in his garage in the south of London UK,the company has passes through several owners since it's foundation.
Bro umechanganya kenwood ya uk na japan ni kampuni mbili tofauti kabisa na waanzilishi wake ni tofauti.

Kwenye page ya wikipedia ya kenwood limited kwa juu wameainisha kuwa.
"Not to be confused with the Japan-based manufacturer of audio equipment, Kenwood Corporation"
 
Telefunken, Aristona, Erres, Technics ndo Phillips mkuu sema ikiwa nchi tofauti tofauti i.e Belgium, Netherlands, Luxembourg etc ila kuna mnyama mkali mmoja anaitwa Grundig..
Mjerumani huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…