Nitajie mahali yako

Nitajie mahali yako

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nataka nije nitoe mahari kwenu, nitajie mahari yako

Najua kila mmoja anamuhitaji mwenzake, kwa kifupi tunahitajiana.

Haya mambo ya kumfanya mwingine agharamike sana, ili aonekane ndio muhitaji sana katika mahusiano, hayana maana; kwa kifupi tunahitajiana.

Nimekupenda wewe pisi kali unaetembea kwa mwendo wa madaha, nitajie mahari yako.

Iwe mbuzi, kondoo, ng'ombe nitatoa; nitajie mahari yako.​
 
It's too real it's too real😭
FB_IMG_16006026184489275-1.jpg
 
Back
Top Bottom