Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🪓Inategemea maana anatamka mwanamke mwenyewe na pia kama wazazi wataleta tamaa kimpango wao.
Mi nitajipinda kwa nafasi yangu kama mwanaume ,nasema kwa vile pesa ipo ndani ya uwezo wangu na jambo nalichukulia serious.
Mkuu hili papai linawakilisha nini?
Kuna wanawake wapo #4.Inategemea wakuu, kuna factors za kuzingatia.[emoji3]View attachment 2713243
Ukibahatika #4 beba jumla mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna wanawake wapo #4.
Si lazima, kwa mfano mimi sikutozwa mahari, zaidi ya kupewa baraka, mkaishi na muijaze dunia.Hivi ukitaka kumtajia mtu mahari inabidi uzingatie nn?
Sio rahisi 😂😂😂Si lazima, kwa mfano mimi sikutozwa mahari, zaidi ya kupewa baraka, mkaishi na muijaze dunia.
mod wameweka l na kuondoa rMahali ndiyo nini??
Ndio hivyo sasa, sasa hivi tunaendelea kuijaza duniaSio rahisi 😂😂😂
Mwanamke si ndio anaamua kiwango cha mahari.?Hivi ukitaka kumtajia mtu mahari inabidi uzingatie nn?
Mimi sijui pia ndo maana nimeulizaMwanamke si ndio anaamua kiwango cha mahari.?
Huwa mnaangalia vitu gn?
[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa uzoefu wangu.Mimi sijui pia ndo maana nimeuliza
Ooh kumbeKwa uzoefu wangu.
Wengine wanaangalia "Potential" ya muolewaji.
Elimu, uzuri(japo sio sana), kujitunza.
Wengine wanaangalia uwezo wa kiuchumi wa muoaji.
Uwezo wa kiuchumi wa familia ya muolewaji.
Wengine hawaangailii yote hayo, upendo tuu unakuwa ni mahari tosha. Kinachoongezeka ni Zawadi za hapa na pale.
Kwani wew ukipata hiyo nafasi utaangalia vitu gani?Ooh kumbe
Uwezo wa mwanaume pia tutashauriana kabla hajaja km nitaongeza si sana 😂Kwani wew ukipata hiyo nafasi utaangalia vitu gani?