Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Na kwanini unatoa?Mimi akitaja chini ya Mil 4 ntatoa kwa haraka sana ila nyingine itabidi niangalia na factors nyingine ila ntatoa bila ya kupunguziwa.
Picha inajieleza; hakutest mitambo kabla au?
Mil 4 sio parefu sana kawaida kwa watu wengi mbona wanatoa.Na kwanini unatoa?
Bwawa la samaki😁😂
Hii unaitafsi vipi, na kumnunua mtu?Mil 4 sio parefu sana kawaida kwa watu wengi mbona wanatoa.
Acha uharibifu 😂😁, anagalau 1-2m Mwisho🤒Mil 4 sio parefu sana kawaida kwa watu wengi mbona wanatoa.
Inategemea maana anatamka mwanamke mwenyewe na pia kama wazazi wataleta tamaa kimpango wao.Hii unaitafsi vipi, na kumnunua mtu?
Mhhh!! Mambo ya kuja kuambiwa una sura mbaya kama yule jamaa.Acha uharibifu 😂😁, anagalau 1-2m Mwisho🤒
Kaka tena nikipata discount ya mahari kwa Ms eyes ita pendeza🤗Mhhh!! Mambo ya kuja kuambiwa una sura mbaya kama yule jamaa.
😀😀😀Fegi ya babuZaidi ya 5M sitoi mahari yaan garama ya sijui fegi ya Babu iwe humo humo sijui mnanielewa nyie watu wa narumu
Wale watu wa chini ya mlima mrefu Africa wana kaufwala flani hv yaan vitu vingii ukute binti yao ana biashara aisee utajuta watakwambia mahari 8M na bado watakuorodheshea vitu vingi uwape😀😀😀Fegi ya babu