kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
mchezaji mmoja ambaye ungeomba arudi kuitumikia simba/yanga tena leo
wadau,
tuongee kama mashabiki tu, bila ubishi wa karata.
kila mmoja wetu kuna yule mchezaji aliwahi kumuumiza moyo alipoondoka. yule ambaye kila ukimkumbuka unasema "huyu angekuwepo mpaka leo..."
mimi kwa upande wangu kuna wawili wa Simba na yanga
kama ni yanga, nakumbuka thaban sikala kamusoko jamaa alikuwa anajua Sana nikiungo aliyekamilika. hakuwa na maneno mengi uwanjani. na kama ni simba, meddie kagere. jamaa alikuwa sumu kwa mabeki. alikuwa na uchu wa magoli kama njaa.
lakini nataka kusikia kwenu.
*wewe ni shabiki wa simba au yanga, ni mchezaji gani mmoja ungeomba arudishwe leo hii,
naomba utaje na sababu moja tu, kwanini yeye?
karibuni mezani, mpira ni burudani