Nitajie Msomi Bilionea

Nitajie Msomi Bilionea

Wasomi wengi ni waoga wakuchukuwa maamuzi ndo tatizo Lao
Kwao kitu hata Kama sio cha kufikiria saana wao upenda kufikiria kwa ndani
Any way mtu ni mtu basi
 
Kibongobongo Kusoma Sana ni kukataa kuwa Bilionea Kwa makusudi
Hakuna kada inatoa Mabillionea kama Siasa ukichanganya na Shule ,
Wote unawaona Leo ni Mabillionea hapa nchini angalia nyuma ya Pazia yupo nani?
Fanya Research Kwa matajiri kumi wanao trend hapa Nchini na source za utajiri wao,
Halafu utapata majibu
 
Mohamed Dewji, the only bilionaire in Tanzania.
How much does he own?
Kuna watu Wana share za mabenki Kama CRDB au ukitaka kujua wasomi mabilionea Tanzania tembelea DSE. Kuna watu nchi hii wanapesa lkn matako hayalii mbwata Kama Mo. Mo mnahisi anapesa KWASABABU anawahonga viongozi wa Simba na kukopesha pikipiki.
 
Mkuu. Mo ni billions in term of dollar.
Kama yupo mwingine unaweza kumleta tujifunze.
 
Back
Top Bottom