Nitajie Msomi Bilionea

Nitajie Msomi Bilionea

Kibongobongo Kusoma Sana ni kukataa kuwa Bilionea Kwa makusudi
Mo Dewj kasomea Internationat School of Tanganyika. A baadae Huko Marekani alienda kubobea kwenye Masomo ya Biashara.

Rostam Aziz ni Msomi Mchumi aliyebobea kwenye maswala ya fedha na bishara kasomea Huko Middle East na USA.

Ni mifano tu
 
Vipi Bakhresa aliyeacha shule huku nyumbani ingawa yeye ni millionaire
Bakheresa watoto wake kasomesha hatari na ndio wanaoendesha kampuni mmoja kashika Azam Foods mambo yote ya vya kula na vinywaji na viwanda vyake ,mwingine kashika Azam transport inayoshughukika na mambo yote ya usafirishsji ikiwemo meli malori .Mwingine kashika Azam media na Sport mambo ya Azam TV na sports

Mzee wa watu katulia Watoto wasomi ndio wanaiendesha kampuni kwa spidi kubwa
Matajiri wasiosoma wakiswahili akifa na biashara inakufa yeye hajasoma na mitoto.haijasoma na haijui kitu kuhusu biashara akifa na biashara kwa heri inakufilia mbali
 
1.Ukiona msomi bilionea basi ujue ameiba/ufisadi amefanya na si mshahara/malupulupu ndiyo yaliyompa fedha.
2.Ukiona Bilionea ambaye hajasoma basi jua amefanya magumashi ya ukwepaji kodi/magendo kujipatia mali.
 
Si kila aliingia darasani ni msomi aisee...Kama tunaenda na notion hiyo basi hata alieishia la saba ni msomi..Mtoa nafikiri analenga zaidi "Academicians" watu wanaopata msosi kupitia elimu zao, wako kwenye research institutions huko,waalimu vyuoni - na watu wa design hiyo...

Sababu hata biashara nyingi zinahitaji uelewa na elimu mbalimbali tofauti ni katika extent ipi??
Tuchukue mfano wa Professors...hivi kweli huo muda wa kuwaza miradi kwa ajili ya kutengeneza mabilioni anatoa wapi, anamikaratasi ya kusahihisha, ana dissertations etc...the same kwa Doctors n.k
 
Back
Top Bottom