Nitajie mti wowote usio anzia na herufi "M"

Mkuu hata mimi kwa lugha botany, ningetaja mingi kweli...
Kwa Kiswahili labda hiyo loliondo tree
Mengine yatakuwa kilugha bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] don’t cheat
Mkuu haya majina ni Common names kama ilivyo Mwarobaini, Mninga, Mkaratusi ambayo inajulikana kwa makabila yote.

Pia kuna Local names ambayo yapo tofauti kulingana na kabila.

Mfano:
Common name: Loliondo

Local names: Olmasi(Masai)

Mudi(Chagga)

Sasi(Fipa)

Tsalmo(Iraqw)

Mshiyo(Meru)
 
hujanambia ambacho hukubaliani nami ni nini.
ngoja nikupe ilimu kidogo tu bure.

korosho ni jina(noun) kubadilisha ili iwe ni Kibumishi (adjective) inaongezewa prefix M ambayo inafanya hilo jina libadilike liwe adjective ambayo ndo hiyo mkorosho.

si mmea peke yake...(niendelee kukuelimisha bure kabisa) hata makabila au utaifa.
china ni jina la nchi (nomino ) in swahili. china (noun) in english
kivumishi chake kuzungumzia mtu anayetoka nchi ya china
Mchina huyu ni mtu (kivumishi) in swahili. Chinese (adjective) in english a citizen of china.

haya nambie hukubaliani nami wapi. wewe si mtaalamu wa kiswahili. mimi ni mtaalamu wa KISWAHILI,ENGLISH,KIARABU NA KIHISPANIOLA.

 
Hagenia ni kabila gani?
 
Hicho ni Kigweno ambacho kiasili kinatokana na mchanganyiko wa Kichaga na kipare japo Kichaga is dominant and thus Wagweno sio wapare wala wachaga but Intermidiate.
Sasa hapa wanataka kiswahili chenyewe
 
Hagenia ni kabila gani?
Hagenia ni Common name.

Local names zake ni hizi hapa.

Mfoono(Bena)

Mrozirozi(Bondei, Shambaa, Zigua)

Mweretsi, mweretzi(Hehe)

Mtulenga, mturungu(Nyakyusa)

Mkumburu(Safwa)

Mwanga, mwalanga, Ihanga, mlanga, mlaagi(Chagga)

Songeyaji, ngivavi(Masai)
 

Local names sawa [emoji736]
Haya Kwa Kiswahili ninauitaje!?
 
Kweli maana kiingereza ukitaja kabila huanzi na M
 
Wewe jina la kiswahili unalijua lipi?
Silijui, ndio nilikua nataka kulisikia. Lkn kama ndio linatumia kama Kiswahili sawa!! Itabidi niende jukwaa la luga nikawatafute wataalam
 
Gomba,cyo mgomba,bali ni ule mti wa mirungi.
kwenye laki nipe 5000 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…