Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikuelewa..huyo sasa inakoelekea anakupiga hako ka lakimbona umeanzia na herufi "M" ?
Daah! Hatari sana. Hata mie nilisoma haraka haraka na kuelewa kuwa ni mti unaoanzia; Hio "usio anzia....." mie ilisomeka unaonzia😕. Au Mkuu edit post kutuchanganya?? 😛mbona umeanzia na herufi "M" ?
ngoja mganga anipe dawa niwe tajiri nikuajili kufundisha chekecheaM-si jina la mti ila ni herufi ambayo inaelezea kuwa huo mti unatoa zao gani. tunakula embe ambalo linatokana na mti tunaoita mwembe. kama ambavyo utasema nitajia kabila lolote lisiloanzia na heruf M. mfano sukuma ni kabila mtu mwenye hilo kabila anaitwa msukuma. nyakyusa ni kabila mwenye hilo kabila anaitwa mnyakyusa. hehe ni kabila mwenye kabila hilo anaitwa mhehe. hivyo M- ni prefix ambayo inaonesha sifa ya mtu au kitu hicho. jinga- mjinga, pumbavu - mpumbavu
erevu- mwerevu, akili-mwenyeakili, gonjwa- mgonjwa. ni adjective au prefix ambayo inakuja kutengeneza adjective- kivumishi. una jambo lingine? kama kuna sehemu nimekosea mtanirekebisha wataalam mimi nilisoma lugha miaka mingi iliyopita when education was education
[emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera dada/kaka kwa kutoa maelezo mazuriM-si jina la mti ila ni herufi ambayo inaelezea kuwa huo mti unatoa zao gani. tunakula embe ambalo linatokana na mti tunaoita mwembe. kama ambavyo utasema nitajia kabila lolote lisiloanzia na heruf M. mfano sukuma ni kabila mtu mwenye hilo kabila anaitwa msukuma. nyakyusa ni kabila mwenye hilo kabila anaitwa mnyakyusa. hehe ni kabila mwenye kabila hilo anaitwa mhehe. hivyo M- ni prefix ambayo inaonesha sifa ya mtu au kitu hicho. jinga- mjinga, pumbavu - mpumbavu
erevu- mwerevu, akili-mwenyeakili, gonjwa- mgonjwa. ni adjective au prefix ambayo inakuja kutengeneza adjective- kivumishi. una jambo lingine? kama kuna sehemu nimekosea mtanirekebisha wataalam mimi nilisoma lugha miaka mingi iliyopita when education was education
M ni kitamshi cha upekee,Naam naomba unitajie mti wowote usio anzia na herufi "M" maana nimetumwa na mganga kama hamna nimpe laki moja
Mh![emoji15] mbona umekosea! Anataka mti ambao hauanzi na MMuembe
Mchungwa
Mchongoma
Mlimao
Mkomamanga
Mndizi
Muapple
Mparachichi
Mtopetope
Mh![emoji15] mbona umekosea! Anataka mti ambao hauanzi na M
TreeNaam naomba unitajie mti wowote usio anzia na herufi "M" maana nimetumwa na mganga kama hamna nimpe laki moja