Nitajie mti wowote usio anzia na herufi "M"

Hapa tutapatia wale wa ntwara kul

N'ninga
Nkorosho,
Nsufi,
Nsonobali,
Nkarafuu,
Npera,

Nakadhalika
 
Mlemutuzzz...
ni mti flani hivi mfupi na mdogo kama bamia...
 
hujanambia ambacho hukubaliani nami ni nini.
ngoja nikupe ilimu kidogo tu bure.

korosho ni jina(noun) kubadilisha ili iwe ni Kibumishi (adjective) inaongezewa prefix M ambayo inafanya hilo jina libadilike liwe adjective ambayo ndo hiyo mkorosho.

si mmea peke yake...(niendelee kukuelimisha bure kabisa) hata makabila au utaifa.
china ni jina la nchi (nomino ) in swahili. china (noun) in english
kivumishi chake kuzungumzia mtu anayetoka nchi ya china
Mchina huyu ni mtu (kivumishi) in swahili. Chinese (adjective) in english a citizen of china.

haya nambie hukubaliani nami wapi. wewe si mtaalamu wa kiswahili. mimi ni mtaalamu wa KISWAHILI,ENGLISH,KIARABU NA KIHISPANIOLA.
Kwa kifupi tu, ..nisaidie "Mkorosho" ni adjective, au ni noun?
 
M-si jina la mti ila ni herufi ambayo inaelezea kuwa huo mti unatoa zao gani. tunakula embe ambalo linatokana na mti tunaoita mwembe. kama ambavyo utasema nitajia kabila lolote lisiloanzia na heruf M. mfano sukuma ni kabila mtu mwenye hilo kabila anaitwa msukuma. nyakyusa ni kabila mwenye hilo kabila anaitwa mnyakyusa. hehe ni kabila mwenye kabila hilo anaitwa mhehe. hivyo M- ni prefix ambayo inaonesha sifa ya mtu au kitu hicho. jinga- mjinga, pumbavu - mpumbavu
erevu- mwerevu, akili-mwenyeakili, gonjwa- mgonjwa. ni adjective au prefix ambayo inakuja kutengeneza adjective- kivumishi. una jambo lingine? kama kuna sehemu nimekosea mtanirekebisha wataalam mimi nilisoma lugha miaka mingi iliyopita when education was education
Gudume on point
 
Hiyo ni sawa na kusema nitajie jinsia bila kuanza na "M"
 
We mzee hujambo?!
 
Back
Top Bottom