Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mimi Me : 02 January Jina N
Yeye Ke : 29 June Jina S
Utangamano

Wawili nyie ni wenye kuvutiana zaidi kwenye tendo la ndoa, hata tamaa zenu za mapenzi zaidi zimelalia huko kwenye mchezo huo,
Lakini ni wenye kuhitaji furaha zaidi kwanza hadi kufikia kwenye hatua hiyo ya kuingia chumbani baada ya kuelewana kwa tofauti zenu wote nje ya chumba.

Kwa maana yeye mwenye hisia zaidi utaona ni mwenye kuchukizwa zaidi na tabia zako za kutaka kutawala mapenzi.
Na wewe utajikuta ni mwenye kushindwa kuendelea kukubaliana na matakwa yake yaliojaa ung'ang'anizi na hisia ndani yake mithili ya mtu anaetaka kulia na ukizidisha tu ukali utaona machozi teyari, Yeye anataka zaidi mtu mwenye uchangamfu wa kihisia ili kumchangamsha yaani mwenye upendo unaotoka moyoni na atachanganywa na asili yako ya mgomo baridi.

Wawili nyie wote ni wenye kuhofia kukataliwa pale anapotaka lake, Lakini yeye ni mwepesi kutoa na wewe ni mchoyo ama kwa maneno mengine yeye ni mwenye kupenda kutoa na wewe ni mwenye asili ya uchoyo.

Pia yeye ni mwenye kukupa mapenzi unayoyataka lakini wewe ni mwenye uchoyo wa mapenzi na hata ukiambiwa hukubali.
wawili nyie kwa mtizamo hapa ni nyota mbili tofauti na zinapinga mtizamo mzima wa unajimu.

Rakims
 
Me 7/12 Herufi ya kwanza ya jina langu C
Ke 29/9 Herufi ya kwanza ya jina la mtarajiwa wangu ni C
 

KE 06 Nov &
me 29 dec
 
Mimi, me.kuzaliwa,4 mwezi wa pili .herufi ya jina M.
Yeye,ke.herufi ya jina H.kuzaliwa. 8 January
 
Mtume Muhammad (pbuh) kaharamisha masuala haya ya horoscope, mwenye kwenda kwa kuhani kuuliza na akayaamini maneno yake basi amekufuru kwa aliyokuja nayo Muhammad (pbuh).

Wewe Rakim ni mchawi tu kama wachawi wengine na upo mbali na Uislam.

Uislam umekataza masuala ya Ramli ila wewe unafanya na unawalaghai watu.
 
Huyu kenge,ni kigagula mpuuzi tu, anavuta akili ndogo na kuwalamba na huu ulozi
Ukimshtukia ana ang'aka na matusi, Jinga kabisa hili mbulula
Haijarishi ni kitu gani utasema haitabadirisha maana kuwa wewe ni Mpumbavu hili nilikwambia na bado nitakwambia vile vile elewa kuwa maana ya Pumbavu sio tusi isipokuwa Pumbavu ni mtu kama wewe. Upo kwenye hii forum miaka 5 bado hata haijakufuta tongotongo ama kukupa mbinu za kuepukana na Upumbavu wako???

Mungu akuhurumie na akusamehe kwa maana unaonekana una laana ya kukosa akili.. Forum ina zaidi ya Milioni za makala umekosa zote hizo kuchangia unakuja kujangia makala ambayo hata haikufai kulingana na umri wako bado mdogo.

Rakims
 
Nafurahi kuwa ujumbe wangu umefika maana ALLAH anasema kuwa anasamehe dhambi zote isipokuwa Shirki....unachofanya wewe ni ushirikina wa waziwazi kabisa
 
Nyota hazikuwekwa kwa ajili ya kuzitumia kupiga ramli au kutabiri maisha ya watu huo ni uzushi wa wazi kabisa.
 
Quran - Al-Ma'idah 5:3

حُرِّمَتْ عَلَيْكُمُ ٱلْمَيْتَةُ وَٱلدَّمُ وَلَحْمُ ٱلْخِنزِيرِ وَمَآ أُهِلَّ لِغَيْرِ ٱللَّهِ بِهِۦ وَٱلْمُنْخَنِقَةُ وَٱلْمَوْقُوذَةُ وَٱلْمُتَرَدِّيَةُ وَٱلنَّطِيحَةُ وَمَآ أَكَلَ ٱلسَّبُعُ إِلَّا مَا ذَكَّيْتُمْ وَمَا ذُبِحَ عَلَى ٱلنُّصُبِ وَأَن تَسْتَقْسِمُوا۟ بِٱلْأَزْلَٰمِۚ ذَٰلِكُمْ فِسْقٌۗ ٱلْيَوْمَ يَئِسَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ مِن دِينِكُمْ فَلَا تَخْشَوْهُمْ وَٱخْشَوْنِۚ ٱلْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِى وَرَضِيتُ لَكُمُ ٱلْإِسْلَٰمَ دِينًاۚ فَمَنِ ٱضْطُرَّ فِى مَخْمَصَةٍ غَيْرَ مُتَجَانِفٍ لِّإِثْمٍۙ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu.
 

Are horoscopes haram?​

Astrology , horoscopes, superstition and fortune-telling are all actions of ignorance which Islam came to show as false and to explain that they are acts of polytheism. This is because they involve depending on something other than Allah and believing that benefit and harm come from something other than Him, and believing the words of fortune-tellers and soothsayers who falsely claim to have knowledge of the unseen in order to cheat people of their money and change their beliefs.
 

Evidence for prohibiting zodiac signs in Islam​

The evidence for that is the hadith narrated by Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft

Al-Bazzar narrated with a sound chain of transmission from ‘Imran ibn Husayn that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “He is not one of us who practises augury or has it done for him, who tells fortunes or has his fortune told, or who practises witchcraft or has that done for him.” Whoever claims to know some matter of the unseen either is a fortune-teller or is acting like a fortune-teller in some sense, because Allah is the only One Who has knowledge of the unseen. Allah says (interpretation of the meaning);

“Say: ‘None in the heavens and the earth knows the Ghayb (Unseen) except Allah…’” [al-Naml 27:65]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…