Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

How to avoid fortune-telling​

My advice to everyone who has anything to do with these matters is to repent to Allah and ask for His forgiveness, and to depend only on Allah and to put their trust in Him in all their affairs, whilst following the practical means that are prescribed or permitted in shari’ah. They should give up these matters of jahiliyyah, keep away from them and avoid asking the people who practise them or believe what they say, out of obedience to AllahAllah and His Messenger (peace and blessings of AllahAllah be upon him), and in order to protect his commitment to Islam and his ‘aqidah (religious belief).

And Allah knows best.
 
Rakims kwa kauli ya Mtume Muhammad (pbuh) amebainisha wazi kuwa yeyote mwenye kujifunza chochote katika unajimu (usomaji wa nyota ) basi amejifunza moja katika sehemu ya uchawi.

Unajimu ni ukafiri na ushirikina wa waziwazi. Uislam umepiga vita masuala haya.

Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft
 
Haijarishi ni kitu gani utasema haitabadirisha maana kuwa wewe ni Mpumbavu hili nilikwambia na bado nitakwambia vile vile elewa kuwa maana ya Pumbavu sio tusi isipokuwa Pumbavu ni mtu kama wewe. Upo kwenye hii forum miaka 5 bado hata haijakufuta tongotongo ama kukupa mbinu za kuepukana na Upumbavu wako???

Mungu akuhurumie na akusamehe kwa maana unaonekana una laana ya kukosa akili.. Forum ina zaidi ya Milioni za makala umekosa zote hizo kuchangia unakuja kujangia makala ambayo hata haikufai kulingana na umri wako bado mdogo.

Rakims
Wewe ni mbulula
Miaka yote uko humu kujaza watanzania ujinga
Hii dalili wewe ulikuwa kilaza shuleni sasa umeangukia kwenye huu ulozi na pia huna shughuli ya maana kimaisha zaidi ya kushinda humu kundeleza huu utopolo kudanganya jamii na hizi pumba,na kama inayoonekana kwa jinsi ya mitanzania kuwa asilimia kubwa ya mbulula kama wewe inaamini huu upuuzi.
 
Nafurahi kuwa ujumbe wangu umefika maana ALLAH anasema kuwa anasamehe dhambi zote isipokuwa Shirki....unachofanya wewe ni ushirikina wa waziwazi kabisa
Elimu yako ndogo sana mdogo wangu. Kama sio wewe basi nina wasiwasi na mwalimu aliyekufundisha hana hekima ya mafunzo..

Shirki ni kuabudu asiyekuwa Mwenyezi Mungu... Na uchawi ni Uchawi tu... Vile vile nyota ni nyota tu ni mambo matatu ambayo hayahusiani naendelea kukwambia acha upumbavu kwa kusema usiyoyajua na kuja kupotosha wengine au wajinga wenzio wasio na maarifa....

Ndio maana leo mmekuwa makundi kwa makundi katika dini moja kutokana na uelewa wenu finyu finyu tena finyu.

Rakims
 
Nyota hazikuwekwa kwa ajili ya kuzitumia kupiga ramli au kutabiri maisha ya watu huo ni uzushi wa wazi kabisa.
Acha kukwepa maswali kwa kuleta hoja za kitoto? Hadithi inayosema nabii kati ya manabii alikuwa anapiga ramli wewe haipokatika Dhehebu lako au na wewe ni Mashiyah maana nisije nikawa naongea na Pumbavu ambaye ni Summum bukmun 'umyun fahum laa yarji'oon (Viziwi, mabubu na vipofu – basi hawatarejea [katika njia iliyonyooka].

Unatetea dhambi ya zinaa ambayo ilisababisha kizazi hiki kikalaaniwa unakuja kuponda maarifa????
Huna maarifa acha kushindanisha ujinga wako na maarifa utajiaibisha
Kwa nini uchukue baadhi ya mafundisho na mengine uache?

Rakims
 
Quran - Al-Ma'idah 5:3

حُرِّمَتْ عَلَيْكُمُ ٱلْمَيْتَةُ وَٱلدَّمُ وَلَحْمُ ٱلْخِنزِيرِ وَمَآ أُهِلَّ لِغَيْرِ ٱللَّهِ بِهِۦ وَٱلْمُنْخَنِقَةُ وَٱلْمَوْقُوذَةُ وَٱلْمُتَرَدِّيَةُ وَٱلنَّطِيحَةُ وَمَآ أَكَلَ ٱلسَّبُعُ إِلَّا مَا ذَكَّيْتُمْ وَمَا ذُبِحَ عَلَى ٱلنُّصُبِ وَأَن تَسْتَقْسِمُوا۟ بِٱلْأَزْلَٰمِۚ ذَٰلِكُمْ فِسْقٌۗ ٱلْيَوْمَ يَئِسَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ مِن دِينِكُمْ فَلَا تَخْشَوْهُمْ وَٱخْشَوْنِۚ ٱلْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِى وَرَضِيتُ لَكُمُ ٱلْإِسْلَٰمَ دِينًاۚ فَمَنِ ٱضْطُرَّ فِى مَخْمَصَةٍ غَيْرَ مُتَجَانِفٍ لِّإِثْمٍۙ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu.
Wewe ni Mpumbavu kila unavyozidi kuchangia ndivyo unavyozidi kudhihirisha upumbavu wako... Unaifahamu RAMLI lakini? Na unaijua nyota?
Hivi unadhani wewe Quran ni Mashairi???
Ramli ni ramli tu na nyota ni nyota tu haijarishi ni aya ipi utakuja nayo zote utakuta unajichanganya mwenyewe na ujinga wako wa kuangalia filamu za ngono...

Soma ili upate maarifa ya kweli na ili uijue kweli wewe ni wale tunawaita Qila wa Qala... Yani huna unalojua binafsi wala kutambua kwa akili yako wala kuelewa

Quran Al- An'aam aya ya 97

"Na yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili muongoke kwazo katika kiza cha bara na Bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanaojua.

Hapo wametajwa wanaojua na wewe kama hujui ifikie sehemu ukae kimya tu.

Rakims
 
Quran- Al-Ma'idah 5:90

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓا۟ إِنَّمَا ٱلْخَمْرُ وَٱلْمَيْسِرُ وَٱلْأَنصَابُ وَٱلْأَزْلَٰمُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ ٱلشَّيْطَٰنِ فَٱجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
Wewe kweli unazidisha upumbavu...
Hizi Ayah za Quran tukufu zinazungumzia Ramli na hapa tunazungumzia nyota hivi nyie lini mtajua kutofautisha baina ya Giza na mwanga?

Quran Al- An'aam aya ya 97

"Na yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili muongoke kwazo katika kiza cha bara na Bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanaojua.

Quran Al Araaf ayah 54

5. (Kumbuka) Yusuf alipomwambia baba yake: Ewe Babaangu, hakika nimeona (katika ndoto) nyota kumi na
moja
na jua na mwezi, nimeviona vikinisujudia

Quran Al Nahl aya ya 16

Na alama nyingine na kwa nyota wao wanajiongoza

Ifikie tu sehemu ukubali wewe huna unachoelewa

Rakims
 
Are horoscopes haram?​

Astrology , horoscopes, superstition and fortune-telling are all actions of ignorance which Islam came to show as false and to explain that they are acts of polytheism. This is because they involve depending on something other than Allah and believing that benefit and harm come from something other than Him, and believing the words of fortune-tellers and soothsayers who falsely claim to have knowledge of the unseen in order to cheat people of their money and change their beliefs.
Umeona maarifa ya Quran na Sunnah hayakutoshi hadi umeenda kuomba msaada Google???
Google wanaoandika ni watu kama wewe haijarishi kaandika mzungu au Mswahili.
The end of the day Right is Right no matter if no one is understand it and wrong is wrong no matter even if everyone is doing it.

Yote kwa yote Usitetee dhambi yako ya kuangalia ngono, kununua malaya, kuchunguza wanaume wenzio tupu zao, kuingiliana kinyume na maumbile, ushoga na kila aina ya dhambi unayoshiriki humu..

Eti ukaseme ni dhambi ndogo harafu kusoma nyota ni dhambi kubwa acha maarifa ya kuokota. Rudi upya ukasome.

Halafu wewe na huyu Mpumbavu mwenzio baada ya kuwaambia ujinga mnaofanya kwenye hii forum moja kwa moja ukaenda kufunga profile view ili ujifiche watakao taka kuangalia kama nasema ukweli wakiangalia wawakose.. Hapana jamii Forums kuna watu wanaakili sana na sio wote wanasomea forum hii kama member wengine wapo nje ya hapa na wanaview kila utumbo na unafiki mnaofanya huku.

Sasa unaziba profile wakati search option inafanya kazi?.
Both of you are sick son of b*tches
And you don't even know anything you are just deceiving yourselves play like innocent fools and pretending to know something you don't even know an inch about it....

By the way you should know a thing about karma kuna sehemu katika mafundisho ya mtume inafundisha kuwa ukifanya utafanyiwa umekwenda kumdhalilisha mwanaume mwenzio Mandonga kwa kuquote upumbavu wala hata hajajitetea au kushughulika na wewe tizama sasa leo karma imekufika nimechukua nafasi ya kumsemea kwamba wewe ni MUNAFIK unajiona mtakatifu kumbe mchafu na umeoza.

Ati unafanya dhambi ukitegemea dhambi yako ndogo what a f*ck is wrong with you?

Rakims
 
Evidence for prohibiting zodiac signs in Islam​

The evidence for that is the hadith narrated by Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft

Al-Bazzar narrated with a sound chain of transmission from ‘Imran ibn Husayn that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “He is not one of us who practises augury or has it done for him, who tells fortunes or has his fortune told, or who practises witchcraft or has that done for him.” Whoever claims to know some matter of the unseen either is a fortune-teller or is acting like a fortune-teller in some sense, because Allah is the only One Who has knowledge of the unseen. Allah says (interpretation of the meaning);

“Say: ‘None in the heavens and the earth knows the Ghayb (Unseen) except Allah…’” [al-Naml 27:65]
Still you are murmuring about Witchcraft, Fortune teller and other scyer like them this is not gonna change the different between Ilmu Nujumu and Ilmu Ramli go back to school son.

Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft

Do you even know the difference between Sihr and Shirk???

You want to combine them??? that will prove how low is your knowledge find someone whp can help you to challenge me. But your knowledge is very low.
Just f*ck off you don't know anything

Rakims
 
Rakims kwa kauli ya Mtume Muhammad (pbuh) amebainisha wazi kuwa yeyote mwenye kujifunza chochote katika unajimu (usomaji wa nyota ) basi amejifunza moja katika sehemu ya uchawi.

Unajimu ni ukafiri na ushirikina wa waziwazi. Uislam umepiga vita masuala haya.

Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft
sawa kaniharamishia mimi unajimu ni ukafiri na ushirikina wa waziwazi According to you uislamu umepiga vita masuala haya lakini wewe kakuhalalishia ufanye tu bila hofu kuangalia ngono, kununua malaya, kuchunguza wanaume wenzio tupu zao, kuingiliana kinyume na maumbile, ushoga na kila aina ya dhambi unayoshiriki humu..
Si ndio ewe mtakatifu wa daraja uliyembali na haramu..
Son just be quiet on my article maana haijarishi utasema nini haitabadiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu.

Rakims
 
Wewe ni mbulula
Miaka yote uko humu kujaza watanzania ujinga
Hii dalili wewe ulikuwa kilaza shuleni sasa umeangukia kwenye huu ulozi na pia huna shughuli ya maana kimaisha zaidi ya kushinda humu kundeleza huu utopolo kudanganya jamii na hizi pumba,na kama inayoonekana kwa jinsi ya mitanzania kuwa asilimia kubwa ya mbulula kama wewe inaamini huu upuuzi.
Unatukana watanzania kwa asilimia kubwa em take your time nenda kajiangalie kwenye kioo halafu ujiulize maswali haya;
  1. Hivi mimi nina akili timamu?
  2. nikitembea barabarani watu wananitizama vipi?
  3. Hivi mimi ni choko namba ngapi?
Trust me utabadirika, haijarishi ni makala gani ya kwangu utaisoma na kuandika pumba... Haitabadiri kuwa wewe ni Mpumbavu hata uandike nini? also from now on ukiwa unajiangalia kwenye kioo utakumbuka niliwahi kuambiwa nijiulize maswali matatu na kaka yake Baba
  1. Hivi mimi nina akili timamu?
  2. nikitembea barabarani watu wananitizama vipi?
  3. Hivi mimi ni choko namba ngapi?
Hata ukibadiri username haitatoa maana ya kuwa wewe ni Mpumbavu mark my words

Rakims
 
Still you are murmuring about Witchcraft, Fortune teller and other scyer like them this is not gonna change the different between Ilmu Nujumu and Ilmu Ramli go back to school son.

Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft

Do you even know the difference between Sihr and Shirk???

You want to combine them??? that will prove how low is your knowledge find someone whp can help you to challenge me. But your knowledge is very low.
Just f*ck off you don't know anything

Rakims
Sihr (uchawi) ni sehemu ya Shirk ila sio kila Shirk ni Sihr (uchawi) ..unachofanya wewe ni sihr na ni ushirikina.

Utabadilisha tu majina kujihalalishia Shirk unayoifanya ila haitaondoa ukweli kuna una deal na one of the branches of witchcraft
 
Wewe kweli unazidisha upumbavu...
Hizi Ayah za Quran tukufu zinazungumzia Ramli na hapa tunazungumzia nyota hivi nyie lini mtajua kutofautisha baina ya Giza na mwanga?

Quran Al- An'aam aya ya 97

"Na yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili muongoke kwazo katika kiza cha bara na Bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanaojua.

Quran Al Araaf ayah 54

5. (Kumbuka) Yusuf alipomwambia baba yake: Ewe Babaangu, hakika nimeona (katika ndoto) nyota kumi na
moja
na jua na mwezi, nimeviona vikinisujudia

Quran Al Nahl aya ya 16

Na alama nyingine na kwa nyota wao wanajiongoza

Ifikie tu sehemu ukubali wewe huna unachoelewa

Rakims
Hakuna ayat kwenye Quran inayotetea Shirki na kufr unayoifanya ...utasaka ayat zote na hutopata mbaya zaidi unaitumia ndoto ya nabii kuhalalisha ushirikina unaoufanya.
 
Yaani ndoto ya nabii wa ALLAH ndio unakuja kuinasibisha na ushirikina na utapeli unaoufanya? Hizo nyota alizoziona Yusuf ndio utakuja kuzifananisha na haya majina ya kizushi ya kaa,simba,samaki,mashuke n.k?
 
Wewe ni Mpumbavu kila unavyozidi kuchangia ndivyo unavyozidi kudhihirisha upumbavu wako... Unaifahamu RAMLI lakini? Na unaijua nyota?
Hivi unadhani wewe Quran ni Mashairi???
Ramli ni ramli tu na nyota ni nyota tu haijarishi ni aya ipi utakuja nayo zote utakuta unajichanganya mwenyewe na ujinga wako wa kuangalia filamu za ngono...

Soma ili upate maarifa ya kweli na ili uijue kweli wewe ni wale tunawaita Qila wa Qala... Yani huna unalojua binafsi wala kutambua kwa akili yako wala kuelewa

Quran Al- An'aam aya ya 97

"Na yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili muongoke kwazo katika kiza cha bara na Bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanaojua.

Hapo wametajwa wanaojua na wewe kama hujui ifikie sehemu ukae kimya tu.

Rakims
Screenshot_20230404-043314~3.png

Hiyo ndio tafsiri sahih ya waja wema waliotangulia sio wewe unayeitumia Quran kuhalalisha ushirikina wako
 
Unatukana watanzania kwa asilimia kubwa em take your time nenda kajiangalie kwenye kioo halafu ujiulize maswali haya;
  1. Hivi mimi nina akili timamu?
  2. nikitembea barabarani watu wananitizama vipi?
  3. Hivi mimi ni choko namba ngapi?
Trust me utabadirika, haijarishi ni makala gani ya kwangu utaisoma na kuandika pumba... Haitabadiri kuwa wewe ni Mpumbavu hata uandike nini? also from now on ukiwa unajiangalia kwenye kioo utakumbuka niliwahi kuambiwa nijiulize maswali matatu na kaka yake Baba
  1. Hivi mimi nina akili timamu?
  2. nikitembea barabarani watu wananitizama vipi?
  3. Hivi mimi ni choko namba ngapi?
Hata ukibadiri username haitatoa maana ya kuwa wewe ni Mpumbavu mark my words

Rakims
Mkuu naomba msaada wako nimekuPM
 
Hakuna ayat kwenye Quran inayotetea Shirki na kufr unayoifanya ...utasaka ayat zote na hutopata mbaya zaidi unaitumia ndoto ya nabii kuhalalisha ushirikina unaoufanya.
Well binafsi sijaona Ayah wala hadithi iliyokuruhusu wewe kufanya unayofanya ama kuhalalisha zinaa hivyo ni bora unitolee bughudha kwenye uzi wangi wewe Kupe.
 
Yaani ndoto ya nabii wa ALLAH ndio unakuja kuinasibisha na ushirikina na utapeli unaoufanya? Hizo nyota alizoziona Yusuf ndio utakuja kuzifananisha na haya majina ya kizushi ya kaa,simba,samaki,mashuke n.k?
Wewe umeona ayah ya ndoto tu hapo... Embu picha kaa pembeni...
 
Back
Top Bottom