Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Me: 1/1. M
Ke:. 2/12. A
Wewe ni mbululaHaijarishi ni kitu gani utasema haitabadirisha maana kuwa wewe ni Mpumbavu hili nilikwambia na bado nitakwambia vile vile elewa kuwa maana ya Pumbavu sio tusi isipokuwa Pumbavu ni mtu kama wewe. Upo kwenye hii forum miaka 5 bado hata haijakufuta tongotongo ama kukupa mbinu za kuepukana na Upumbavu wako???
Mungu akuhurumie na akusamehe kwa maana unaonekana una laana ya kukosa akili.. Forum ina zaidi ya Milioni za makala umekosa zote hizo kuchangia unakuja kujangia makala ambayo hata haikufai kulingana na umri wako bado mdogo.
Rakims
Elimu yako ndogo sana mdogo wangu. Kama sio wewe basi nina wasiwasi na mwalimu aliyekufundisha hana hekima ya mafunzo..Nafurahi kuwa ujumbe wangu umefika maana ALLAH anasema kuwa anasamehe dhambi zote isipokuwa Shirki....unachofanya wewe ni ushirikina wa waziwazi kabisa
Acha kukwepa maswali kwa kuleta hoja za kitoto? Hadithi inayosema nabii kati ya manabii alikuwa anapiga ramli wewe haipokatika Dhehebu lako au na wewe ni Mashiyah maana nisije nikawa naongea na Pumbavu ambaye ni Summum bukmun 'umyun fahum laa yarji'oon (Viziwi, mabubu na vipofu – basi hawatarejea [katika njia iliyonyooka].Nyota hazikuwekwa kwa ajili ya kuzitumia kupiga ramli au kutabiri maisha ya watu huo ni uzushi wa wazi kabisa.
Wewe ni Mpumbavu kila unavyozidi kuchangia ndivyo unavyozidi kudhihirisha upumbavu wako... Unaifahamu RAMLI lakini? Na unaijua nyota?Quran - Al-Ma'idah 5:3
حُرِّمَتْ عَلَيْكُمُ ٱلْمَيْتَةُ وَٱلدَّمُ وَلَحْمُ ٱلْخِنزِيرِ وَمَآ أُهِلَّ لِغَيْرِ ٱللَّهِ بِهِۦ وَٱلْمُنْخَنِقَةُ وَٱلْمَوْقُوذَةُ وَٱلْمُتَرَدِّيَةُ وَٱلنَّطِيحَةُ وَمَآ أَكَلَ ٱلسَّبُعُ إِلَّا مَا ذَكَّيْتُمْ وَمَا ذُبِحَ عَلَى ٱلنُّصُبِ وَأَن تَسْتَقْسِمُوا۟ بِٱلْأَزْلَٰمِۚ ذَٰلِكُمْ فِسْقٌۗ ٱلْيَوْمَ يَئِسَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ مِن دِينِكُمْ فَلَا تَخْشَوْهُمْ وَٱخْشَوْنِۚ ٱلْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِى وَرَضِيتُ لَكُمُ ٱلْإِسْلَٰمَ دِينًاۚ فَمَنِ ٱضْطُرَّ فِى مَخْمَصَةٍ غَيْرَ مُتَجَانِفٍ لِّإِثْمٍۙ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu.
Wewe kweli unazidisha upumbavu...Quran- Al-Ma'idah 5:90
يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓا۟ إِنَّمَا ٱلْخَمْرُ وَٱلْمَيْسِرُ وَٱلْأَنصَابُ وَٱلْأَزْلَٰمُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ ٱلشَّيْطَٰنِ فَٱجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
Umeona maarifa ya Quran na Sunnah hayakutoshi hadi umeenda kuomba msaada Google???Are horoscopes haram?
Astrology , horoscopes, superstition and fortune-telling are all actions of ignorance which Islam came to show as false and to explain that they are acts of polytheism. This is because they involve depending on something other than Allah and believing that benefit and harm come from something other than Him, and believing the words of fortune-tellers and soothsayers who falsely claim to have knowledge of the unseen in order to cheat people of their money and change their beliefs.
Still you are murmuring about Witchcraft, Fortune teller and other scyer like them this is not gonna change the different between Ilmu Nujumu and Ilmu Ramli go back to school son.Evidence for prohibiting zodiac signs in Islam
The evidence for that is the hadith narrated by Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft
Al-Bazzar narrated with a sound chain of transmission from ‘Imran ibn Husayn that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “He is not one of us who practises augury or has it done for him, who tells fortunes or has his fortune told, or who practises witchcraft or has that done for him.” Whoever claims to know some matter of the unseen either is a fortune-teller or is acting like a fortune-teller in some sense, because Allah is the only One Who has knowledge of the unseen. Allah says (interpretation of the meaning);
“Say: ‘None in the heavens and the earth knows the Ghayb (Unseen) except Allah…’” [al-Naml 27:65]
sawa kaniharamishia mimi unajimu ni ukafiri na ushirikina wa waziwazi According to you uislamu umepiga vita masuala haya lakini wewe kakuhalalishia ufanye tu bila hofu kuangalia ngono, kununua malaya, kuchunguza wanaume wenzio tupu zao, kuingiliana kinyume na maumbile, ushoga na kila aina ya dhambi unayoshiriki humu..Rakims kwa kauli ya Mtume Muhammad (pbuh) amebainisha wazi kuwa yeyote mwenye kujifunza chochote katika unajimu (usomaji wa nyota ) basi amejifunza moja katika sehemu ya uchawi.
Unajimu ni ukafiri na ushirikina wa waziwazi. Uislam umepiga vita masuala haya.
Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft
Unatukana watanzania kwa asilimia kubwa em take your time nenda kajiangalie kwenye kioo halafu ujiulize maswali haya;Wewe ni mbulula
Miaka yote uko humu kujaza watanzania ujinga
Hii dalili wewe ulikuwa kilaza shuleni sasa umeangukia kwenye huu ulozi na pia huna shughuli ya maana kimaisha zaidi ya kushinda humu kundeleza huu utopolo kudanganya jamii na hizi pumba,na kama inayoonekana kwa jinsi ya mitanzania kuwa asilimia kubwa ya mbulula kama wewe inaamini huu upuuzi.
Sihr (uchawi) ni sehemu ya Shirk ila sio kila Shirk ni Sihr (uchawi) ..unachofanya wewe ni sihr na ni ushirikina.Still you are murmuring about Witchcraft, Fortune teller and other scyer like them this is not gonna change the different between Ilmu Nujumu and Ilmu Ramli go back to school son.
Abu Dawud in his Sunan with a sahih isnad from Ibn 'Abbas (may Allah be pleased with him), that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Whoever learns anything of astrology has learned a branch of (al-sihr)…”witchcraft
Do you even know the difference between Sihr and Shirk???
You want to combine them??? that will prove how low is your knowledge find someone whp can help you to challenge me. But your knowledge is very low.
Just f*ck off you don't know anything
Rakims
Hakuna ayat kwenye Quran inayotetea Shirki na kufr unayoifanya ...utasaka ayat zote na hutopata mbaya zaidi unaitumia ndoto ya nabii kuhalalisha ushirikina unaoufanya.Wewe kweli unazidisha upumbavu...
Hizi Ayah za Quran tukufu zinazungumzia Ramli na hapa tunazungumzia nyota hivi nyie lini mtajua kutofautisha baina ya Giza na mwanga?
Quran Al- An'aam aya ya 97
"Na yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili muongoke kwazo katika kiza cha bara na Bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanaojua.
Quran Al Araaf ayah 54
5. (Kumbuka) Yusuf alipomwambia baba yake: Ewe Babaangu, hakika nimeona (katika ndoto) nyota kumi na
moja na jua na mwezi, nimeviona vikinisujudia
Quran Al Nahl aya ya 16
Na alama nyingine na kwa nyota wao wanajiongoza
Ifikie tu sehemu ukubali wewe huna unachoelewa
Rakims
Yaani ndoto ya nabii wa ALLAH ndio unakuja kuinasibisha na ushirikina na utapeli unaoufanya? Hizo nyota alizoziona Yusuf ndio utakuja kuzifananisha na haya majina ya kizushi ya kaa,simba,samaki,mashuke n.k?Wewe kweli unazidisha upumbavu...
Hizi Ayah za Quran tukufu zinazungumzia Ramli na hapa tunazungumzia nyota hivi nyie lini mtajua kutofautisha baina ya Giza na mwanga?
Quran Al- An'aam aya ya 97
"Na yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili muongoke kwazo katika kiza cha bara na Bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanaojua.
Quran Al Araaf ayah 54
5. (Kumbuka) Yusuf alipomwambia baba yake: Ewe Babaangu, hakika nimeona (katika ndoto) nyota kumi na
moja na jua na mwezi, nimeviona vikinisujudia
Quran Al Nahl aya ya 16
Na alama nyingine na kwa nyota wao wanajiongoza
Ifikie tu sehemu ukubali wewe huna unachoelewa
Rakims
Wewe ni Mpumbavu kila unavyozidi kuchangia ndivyo unavyozidi kudhihirisha upumbavu wako... Unaifahamu RAMLI lakini? Na unaijua nyota?
Hivi unadhani wewe Quran ni Mashairi???
Ramli ni ramli tu na nyota ni nyota tu haijarishi ni aya ipi utakuja nayo zote utakuta unajichanganya mwenyewe na ujinga wako wa kuangalia filamu za ngono...
Soma ili upate maarifa ya kweli na ili uijue kweli wewe ni wale tunawaita Qila wa Qala... Yani huna unalojua binafsi wala kutambua kwa akili yako wala kuelewa
Quran Al- An'aam aya ya 97
"Na yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili muongoke kwazo katika kiza cha bara na Bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanaojua.
Hapo wametajwa wanaojua na wewe kama hujui ifikie sehemu ukae kimya tu.
Rakims
Mkuu naomba msaada wako nimekuPMUnatukana watanzania kwa asilimia kubwa em take your time nenda kajiangalie kwenye kioo halafu ujiulize maswali haya;
Trust me utabadirika, haijarishi ni makala gani ya kwangu utaisoma na kuandika pumba... Haitabadiri kuwa wewe ni Mpumbavu hata uandike nini? also from now on ukiwa unajiangalia kwenye kioo utakumbuka niliwahi kuambiwa nijiulize maswali matatu na kaka yake Baba
- Hivi mimi nina akili timamu?
- nikitembea barabarani watu wananitizama vipi?
- Hivi mimi ni choko namba ngapi?
Hata ukibadiri username haitatoa maana ya kuwa wewe ni Mpumbavu mark my words
- Hivi mimi nina akili timamu?
- nikitembea barabarani watu wananitizama vipi?
- Hivi mimi ni choko namba ngapi?
Rakims
Well binafsi sijaona Ayah wala hadithi iliyokuruhusu wewe kufanya unayofanya ama kuhalalisha zinaa hivyo ni bora unitolee bughudha kwenye uzi wangi wewe Kupe.Hakuna ayat kwenye Quran inayotetea Shirki na kufr unayoifanya ...utasaka ayat zote na hutopata mbaya zaidi unaitumia ndoto ya nabii kuhalalisha ushirikina unaoufanya.
Wewe umeona ayah ya ndoto tu hapo... Embu picha kaa pembeni...Yaani ndoto ya nabii wa ALLAH ndio unakuja kuinasibisha na ushirikina na utapeli unaoufanya? Hizo nyota alizoziona Yusuf ndio utakuja kuzifananisha na haya majina ya kizushi ya kaa,simba,samaki,mashuke n.k?