Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Me
Herufi E trh 23/11
Ke
Herufi D trh 23/7
Mimi ke
Kwa mtizamo unavyoonekana mnaendana kwa asilimia 75 si hapa nae ni moto wa nyasi na wewe ni moto wa mkaa tabia zenu zinafaa kuoana vema pia tambua mahusiano yenu

Unaonekana kuvutiwa na matumaini yake na anaonekana ni mtu mwenye kukupa matumaini na vile yeye ni mtu wa kusafiri au kutoka unakuwa ni mvuto zaidi kwako ambaye pia unaonekana ni mtu mwenye kuliwazika ukipata visafari/mitoko midogo pamoja mnaonekana ni wenye kujumuika katika kuwa na mahusiano yenye uhuru ya bila kubanana yaani kujinafasi na kukutana na watu wapya nyote ni watu wenye mapenzi makali ya moto na wenye kuvutiwa katika tendo la ndoa na kama kuna mtu wa kumfanya mwanamume mwenye tabia kama za huyu wako kuwa muaminifu na mtulivu basi ni mwanamke kama wewe waswahili wanasema unamuweza unaonekana ni muongozaji mzuri kwenye maswala ya mahusiano ni kiongozi bora na kitu ambacho kinamfanya kuvutika zaidi na wewe unaonekana ni mtu wa kujisifu kiasi na mwenye kujiamini nae ni mtu wa matumizi makubwa na mwenye kuja kukuletea furaha hata kama ni masikini atakuja kukuletea mafanikio makubwa maishani kindoa mnaingia katika mlango wa 2 mlango wa pesa na mafanikio.
Ni mtu yupo radhi kukukamilishia chochote.

Sehemu za hisia:
Sehemu zako za hisia zaidi ni maeneo ya moyoni na kifua lakini kwa yeye ni mapajani ikiwa utamtomasa vema mkiwa mmekaa pamoja ni mtu mwenye kupenda michezo ya mafuta(18+) hivyo huona raha sana.

Rakims
 
20/5 jinsia Ke herufi Y
07/12 jinsia Me herufi G
Jinsia yangu:Me
 
Back
Top Bottom