johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field...
Unawajua wajumbe wa CC ya CCM mh Makongoro na mh Mangula?Acha utoto dogo, vita ya Uganda ilipiganwa miaka 40 iliyopita, mtu aliyekuwa mdogo sana kama alienda kwenye vita hiyo alikuwa na miaka 20 wakati huo ambao kwa sasa atakuwa na miaka 60+, je ni kiongozi gani wa upinzani saa hivi mwenye miaka 60, ambaye wakati alikuwa mwanajeshi, au hakuwa shule hivyo alistahili kwenda kwenye hivyo vita? Mmeshindwa kutupa mrejesho wa €27m za mzungu saa hii mnaleta mada za uzalendo uchwara.
Unataka kujenga hoja gani hapo mbona hueleweki??!! Wewe pia nitajie watatu kutoka upande wako huo aliyeshiriki vita ya Maji-Maji. Arraahh!!!Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field...
Kwani kuna kiongozi wa sasa huko Lumumba aliyepigana?!Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field...
27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.Acha utoto dogo, vita ya Uganda ilipiganwa miaka 40 iliyopita, mtu aliyekuwa mdogo sana kama alienda kwenye vita hiyo alikuwa na miaka 20 wakati huo ambao kwa sasa atakuwa na miaka 60+, je ni kiongozi gani wa upinzani saa hivi mwenye miaka 60, ambaye wakati alikuwa mwanajeshi, au hakuwa shule hivyo alistahili kwenda kwenye hivyo vita? Mmeshindwa kutupa mrejesho wa €27m za mzungu saa hii mnaleta mada za uzalendo uchwara.
Viongozi wa upinzani wamezaliwa baada ya vyama vingi?Yaan wewe kweli hamnazo mfumo wa vyama vingi umeanzishwa mwaka gani ili uweze kujenga hoja ya swali lako?
Yaan kila siku nasema kusoma sio kuelimika bali ni kupata kazi ile uendeshe maisha yako angalia huyu anaandika utopolo gani yaan hata historia ya Tanzania haijui
Rungwe, prof. Safari, Maalim na wengine walikuwa na umri gani?Acha utoto dogo, vita ya Uganda ilipiganwa miaka 40 iliyopita, mtu aliyekuwa mdogo sana kama alienda kwenye vita hiyo alikuwa na miaka 20 wakati huo ambao kwa sasa atakuwa na miaka 60+, je ni kiongozi gani wa upinzani saa hivi mwenye miaka 60, ambaye wakati alikuwa mwanajeshi, au hakuwa shule hivyo alistahili kwenda kwenye hivyo vita? Mmeshindwa kutupa mrejesho wa €27m za mzungu saa hii mnaleta mada za uzalendo uchwara.
Mimi nilipigana hiyo vita kuanzia mwanzo mpaka mwisho,Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.
Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.
Uzalendo umejengwa katika misingi.
Maendeleo hayana vyama!
cc : mmawia wa Ufipa st.
Huyo hana cha kusoma wala nini,alikuwa ni buffet attendant kwenye Trc alikuwa ni muuza chai tuYaan wewe kweli hamnazo mfumo wa vyama vingi umeanzishwa mwaka gani ili uweze kujenga hoja ya swali lako?
Yaan kila siku nasema kusoma sio kuelimika bali ni kupata kazi ile uendeshe maisha yako angalia huyu anaandika utopolo gani yaan hata historia ya Tanzania haijui