Freeman alikuwa pale hotelini kwa baba yake na akina Saydoo!
Kabudi alikuwepo vitani!Kamasy kabisa!! Polepole, magufuli, Kabudi walipigana??? Uchafu huu pelekea Lumumba
Kwahiyo unaweza kupigana Vita hata ukiwa chumbani umelala?? Acheni uzwazwaKwani kupigana vita mpaka uende field? Baba yako sio mzalendo. Nahisi hata wewe una damu ya kutokuwa mzalendo.
Labda Vita ya kutema mateKabudi alikuwepo vitani!
Lile jengo lilikuwa mali ya Msajili wa majumba ndio maana Freeman alishindwa kurithi!Mngemwambia Iddy Amini apige bomu hiyo hotel yao, ili wafe yeye na huyo Saydoo.
Nilikuwa nakukumbusha tu kuhusu misingi ya uzalendo.
Sasa Lema anajiita mzalendo, kweli?!!!
Wewe siulikuwa trc pale Mwanza unalangua ticket?Freeman alikuwa pale hotelini kwa baba yake na akina Saydoo!
Angalia huyo kiazi aliyeanzisha mada anamaanisha nini. Mimi sitaki uzalendo maana sasa hivi hakuna tofauti ya uzalendo na ujinga.Kwani kupigana vita mpaka uende field? Baba yako sio mzalendo. Nahisi hata wewe una damu ya kutokuwa mzalendo.
Ni kweli mzalendo hawezi kuwa Ufipa!Lema hana muda wa kujiita mzalendo, maana sasa hivi ni ngumu kutofautisha uzalendo na ujinga.
Acha ubazazi swali linawataka viongozi wa upinzaniHivyo vita watanzania wote walienda? Baba yangu mbona hakwenda kwenye hivyo vita na alikuwa 30+ by then?
Lile jengo lilikuwa mali ya Msajili wa majumba ndio maana Freeman alishindwa kurithi!
Wengi hamjaelewa swaliKamasy kabisa!! Polepole, magufuli, Kabudi walipigana??? Uchafu huu pelekea Lumumba
Acha ubazazi swali linawataka viongozi wa upinzani
Wewe ni mtoto mdogo hujui hata maana ya kupigana vita.Angalia huyo kiazi aliyeanzisha mada anamaanisha nini. Mimi sitaki uzalendo maana sasa hivi hakuna tofauti ya uzalendo na ujinga.
Suala sio uwepo wa upinzani, swali ni kiongozi yupi wa upinzani alipigana hata akiwa Ccm kwa wakati uleAcha utoto dogo, wakati huo kulikuwa na upinzani?
Hakika mkuu!Wengi hamjaelewa swali
Swali lilitaka utaje kama wapo
Lingetaka viongozi wa Ccm waliopigana kama wapo wangetajwa, sasa wewe unaacha kutaka waliopigana unataja ambao hawakupigana...ndio maana mnafeli shule
Kurahisishiwa swali, taja viongozi watatu wa upinzani/Ccm waliopigana vita?
Ndio maana nimekutajia Lyatonga Mrema na Marando!Acha utoto dogo, wakati huo kulikuwa na upinzani?
Wewe unatazama top layersViongozi wa vyama vya upinzani ni kizazi kipya, ni kizazi chenye wajibu mpya wa kupambana na mkoloni mweusi ndani ya Nchi, waliopigana vita vya Uganda wote washazeeka na wengine washakufa, hata Rais tuliye naye hakushiriki hiyo vita.
Hahahaaaa...... ndio kushiriki kwenyewe huko bwashee!Wewe siulikuwa trc pale Mwanza unalangua ticket?