Nitajie wachezaji watatu waliokuhamasisha kuupenda mchezo wa soccer

Cristiano ronaldo



Jamani huyu jamaa hakuna kama yeye

Nakumbuka atletico walikula chuma 3 halafu kila akifunga anaweka pozi

Nakumbuka uefa kuna msimu messi ana goli kumi wanatoka group stage yeye ana goli mbili
Bayern akapiga hat trick

Wanabeba UEFA madrid yeye ana goli 12 messi ana goli kumi

Nakumbuka kichwa dhidi ya chelsea 2008 final nikiwa kijana mdogo kabisa

Kwa hapa bongo ni maestro wawili tu

Triple c mwamba wa lusaka
Goli dhidi ya As vita
Goli dhidi ya Nkana

Performance dhidi ya platinum
dhidi ya kaizer chief home game


Fiston kalala mayele
Jamaa alikua wamoto sana huyu
Simba tulipumua alivosepa

Kuna goli alifunga dhidi ya al hilal taifa kaliangalie uone ubora maradufu wa 9 complete bongo
 
Claudia makelele
Patric viera
Michael essien...[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
We jamaa kama huwa unacheza mpira ni no 6, nina uhakika na hili halafu ni mtu kazi ile real recognize real !!!!
 
Reactions: Exy
Kumbe umeunywa (umeenda age) bibie
 
Maradona na Messi

Argentina 🇦🇷 Morocco 🇲🇦

Unamkumbuka Mustafa haji wewe?
 
Kibongo bongo ni
Juma k juma
Victor costa
Christopher Alex

Mambele ilikuw capital tv wanaonesha marudio ya game ya arsenal na man u enzi hizo cr7 bdo Chali alikuwa anakimbiza balaaa chenga viumbe vya arsenal hatareeee ila kulikuwepo na stopper mweusi hv sijui Campbell kma sijakosea ndio alifany nipende mpira wa ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…