Nitajie wachezaji watatu waliokuhamasisha kuupenda mchezo wa soccer

Nitajie wachezaji watatu waliokuhamasisha kuupenda mchezo wa soccer


 
Zinedine Zidane, Pavel Nedved, Ronaldo de Lima
 
1. Jorge Campos
2. Peter Schmeichel
3. Hussein Masha
 
Yaani mi na unazi wangu wote wa mpira yaani kuanzia nikiwa mdogo let say kuanzia 2000 nipo la 3 huko nafatilia mpira sana hasa chama langu man u ambalo sa ivi ni tia tia maji.... Ila sikuwahi kushabikia Mpira wa bongo kabisa... Yaani nilikua siuelewi kabisa Wala Sina timu


Mzee wangu alikua mnazi wa Simba, nilianza kuwachukia Simba nikiwa mdogo siku Mzee Simba imebamizwa huko akaja home na hasira zake kosa kidogo tu tukatembezewa stick, ndo Maza badae anatuambia Leo Simba kafungwa mkileta utundu huyu Mzee Leo atawaua

Miaka kama mitatu nyuma ndo nimeanza kushabikia yanga, eti sa ivi wameniingia siwezi kukosa mechi zao wakati man u msimu huu sijaangalia hata mechi Moja nishawapotezea kabisa
YANGA RAHA

Mimi nilianza kuishabikia Yanga miaka mingi nikiwa mdg. Baba yangu mkubwa ana magazeti ya Yanga ya kuanzia miaka ya 1970 huko. na anaifuatilia Yanga mpaka leo hii...chumbani ana magazeti mengi sanaaa na habari za michezo ile ya Radio One anafuatilia kila siku usiku

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
LIONEL MESSI HAS SHAKEN HANDS WITH PARADISE

MESSI NI MCHEZAJI KUWAHI KUTOKEA ANAKUAMINISHA HAKUNA MCHEZO RAHISI ZAIDI YA MPIRA WA MIGUU.

KIUKWELI KUANZIA MOVIES ZAKE, ANAVYOKOKOTA MPIRA, DRIBBLING ANAVYOSHUTI ANAKUAMINISHA MPIRA NI MCHEZO MWEPESI SANA TOFAUTI NA UHALISIA
MESSI IS BEST OF ALL TIME
Kabisa, Messi na Pele ni sawa , pele anamzidi Messi nguvu
 
Michael Ballack.
Shinjj Kagawa.
Kimoto -Home boy alikuwa anazima mnooo .Mapombe yakamlostishaa.
 
Back
Top Bottom