Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekua mkubwa mkuu, trust me enzi za ujana nilikua Theo mtupu.Sasa mbona picha kwenye DP yako haufanani na Theo?
Hii ni tatu ya wapi?Ruud van nisterlooy
Roy kean
Wyne Rooney
Raul Gonzalez Blanco
Ryan Giggs
Leon Osman
YANGA RAHAYaani mi na unazi wangu wote wa mpira yaani kuanzia nikiwa mdogo let say kuanzia 2000 nipo la 3 huko nafatilia mpira sana hasa chama langu man u ambalo sa ivi ni tia tia maji.... Ila sikuwahi kushabikia Mpira wa bongo kabisa... Yaani nilikua siuelewi kabisa Wala Sina timu
Mzee wangu alikua mnazi wa Simba, nilianza kuwachukia Simba nikiwa mdogo siku Mzee Simba imebamizwa huko akaja home na hasira zake kosa kidogo tu tukatembezewa stick, ndo Maza badae anatuambia Leo Simba kafungwa mkileta utundu huyu Mzee Leo atawaua
Miaka kama mitatu nyuma ndo nimeanza kushabikia yanga, eti sa ivi wameniingia siwezi kukosa mechi zao wakati man u msimu huu sijaangalia hata mechi Moja nishawapotezea kabisa
Kabisa, Messi na Pele ni sawa , pele anamzidi Messi nguvuLIONEL MESSI HAS SHAKEN HANDS WITH PARADISE
MESSI NI MCHEZAJI KUWAHI KUTOKEA ANAKUAMINISHA HAKUNA MCHEZO RAHISI ZAIDI YA MPIRA WA MIGUU.
KIUKWELI KUANZIA MOVIES ZAKE, ANAVYOKOKOTA MPIRA, DRIBBLING ANAVYOSHUTI ANAKUAMINISHA MPIRA NI MCHEZO MWEPESI SANA TOFAUTI NA UHALISIA
MESSI IS BEST OF ALL TIME