Nitajieni mambo ya kufanya ambayo hata mwili una feel kabisa unaupenda

Nitajieni mambo ya kufanya ambayo hata mwili una feel kabisa unaupenda

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa mfano kunywa maji ya baridi kwenye glass ina letaga stimu fulani hata maji yanateremka gently na smoothly zaidi ya kunywea Chupa.
 

Attachments

  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    37.5 KB · Views: 2
Uvivu. Yaani ulale tuu mwili unapenda sana.
kula mbususu yaani kale ka feeling kanaongeza miaka ya kuishi.
 
Kuogelea kwenye swimming pool wakati wa jua kali.
 
watching or playing Trivia...vitu vinavyonoa ubongo au kukuongezea knowledge zaidi

20240622_121805.jpg
 
Kunywa pepsi baridiiiii, ile feeeling kooni si ya mchezo, halafu jua liwe kaliii....
 
Back
Top Bottom