Nitajieni mambo ya kufanya ambayo hata mwili una feel kabisa unaupenda

Uvivu. Yaani ulale tuu mwili unapenda sana.
kula mbususu yaani kale ka feeling kanaongeza miaka ya kuishi.
 
Kuogelea kwenye swimming pool wakati wa jua kali.
 
watching or playing Trivia...vitu vinavyonoa ubongo au kukuongezea knowledge zaidi

 
Kunywa pepsi baridiiiii, ile feeeling kooni si ya mchezo, halafu jua liwe kaliii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…