Nitajihusisha na financial markets maisha yangu yote

Hii ni kamari kama kamari nyingine. Ni kama betting tu. Au niseme betting ni nzuri zaidi. Haya mambo ya ''kutajirika'' kwa sijui forex ni alinacha za kiafrika (sijasema ni utapeli).
Sawa ndugu.
 
8×1 = 8
8×2 = 7
8×3 = 6
8×4 = 5
8×5 = 4
-------

Swali :

8×9 = ?
 
Lez goo natumia masaa zaid ya matano kila siku ku jenga strategy,kutest, kutrade,
 

Attachments

  • Screenshot_2022-11-13-21-33-25-63.jpg
    49.8 KB · Views: 57
Mwaka wa tatu wanaosoma Shahada ya Finance UDOM wanaisoma Financial markets sema wale ndo huwa wanafanikiwa sana kwa kuwa wanafundishwa mambo yote kuanzia Macroeconomics na Microeconomics na jinsi gani inavyoaffect Market na pia wanafundishwa Dow theory na Elliot wave theory kama technical analysis.
 
Not for eeerOne wallah!
 
Not for eeerOne wallah!
Ndo maana nikasema asilimia kubwa waliofanikiwa forex Wana background ya Economics na Finance degree.

Fatilia wakina Paul Tudor Jones, Karen Foo, Kathy Lien na George Soros. Wale hawafanyi sijui unachora trendline sijui liquidities, wale wanacheki economics za nch kwa kutumia economic data na policies za nchi husika( namaanisha fiscal policies na monetary policies), mambo ya yields, mambo ya trade surplus na trade deficit, effects za Brexit, China kama economic factors ya currencies na Commitment of Traders report ulimwenguni then wanafanya decisions.
.
Nakupa mfano, pale Uturuki, baada ya Erdogan kuchaguliwa kuwa Rais, akasema kuwa yeye ataenda na expansionary fiscal policy , kilichotokea Dollar-turkish lira pair ikapanda mno mno.

Kama unategemea kwa kuchorachora mt4 utakuwa profitable trader, aisee achana na forex, stocks na crypto fanya ishu nyingine.
Hii kama huna background ya uchumi achana nayo, it's not for everyone.
 
Itabidi tuwasiliane..asee Mimi Niko na forex,bonds,utt na DSE stocks
Samahani , Ivi katika bonds (UTT) ukiweka 10 Mil unapata Gawio ngapi ?
Ni lazima uweke Fixed Akaunti ?
Na fixed kuanzia Muda gani ?
Na Pesa ya Gawio inabaki humo humo au Inaenda kwenye Akaunti ya Benki ?
 
Saaawia kabisa
 
Samahani , Ivi katika bonds (UTT) ukiweka 10 Mil unapata Gawio ngapi ?
Ni lazima uweke Fixed Akaunti ?
Na fixed kuanzia Muda gani ?
Na Pesa ya Gawio inabaki humo humo au Inaenda kwenye Akaunti ya Benki ?
profit Inaenda account ya bank
 
Si kweli bro
 
Si kweli bro
Kwanini sio ukweli?
Wakati statistics zinasema hivyo. Ushawahi kuona Karen Foo anafanya mentorship? Au George Soros anafanya mentorship? Paul Tudor Jones anafanya mentorship?

Sijawahi ona kwasababu wanavuna hela kwenye market. Na wote Wana Finance na Economics background.

Tuje kwako, je unaowajua wanaprofit humu bila economics background wanafundisha forex kwa hela? Nijibu.
 
Mbna hizi strategy unazoita za kuchora zinafanya kazi bro

Au unataka uniambie profitable trader wote wana hizo concepts za ki uchum?
 
Mbna hizi strategy unazoita za kuchora zinafanya kazi bro

Au unataka uniambie profitable trader wote wana hizo concepts za ki uchum?
Ndio hata Franscesco Magnetics anayo kuhusu uchumi maana alijisomea mwenyewe.

Mwaka 2018 Sirjeff alikuwa anatumia technicals tu , kilichotokea aliunguza akaunti za watu na wakamuona tapeli mpaka Leo. Ila sasahivi anatumia both Macroeconomics na technicals , anapaa juu hatari sana.

Hakuna technical analysis traders peke yake bila Macroeconomics ambaye atakuwa profitable In a long run. Hizo screenshot za Instagram zinawavuta mtoe pesa ambazo wao wanazifidia kwenye loss zao.
 
Hhhhhhhhhhhhhha.uko sahihi bro ,I hope you are among of profitable trader since you know all these principles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…