Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NotedUtafanikiwa endapohutumii mt4
Kina George soros hawatumii mt4 wanatumia real brokers kama tradestation na Td ameritrade
Mwaka wa tatu wanaosoma Shahada ya Finance UDOM wanaisoma Financial markets sema wale ndo huwa wanafanikiwa sana kwa kuwa wanafundishwa mambo yote kuanzia Macroeconomics na Microeconomics na jinsi gani inavyoaffect Market na pia wanafundishwa Dow theory na Elliot wave theory kama technical analysis.Hii bizinec haina 4mula kila unacho fanya humo ndani ni ku ' predict " kukisia/ kubashiri " soko lina muelekeo gani! Hakuna specific indicators wala strategies! Naweza nikakubaliana nayo kama kuna indicator inayotoa direction kwa zaidi ya 80% sijaona yaani nazo zina bashiri kama ww user unavyo bashiri! Ununue signal kwa gharama ambayo unaweza usiirudishe wakati pia hizo signal nazenyewe ni "densi100/100". Zesheni.
Hii kitu ingekua nzuri zaidi itengenezewe mtaala na kuwe kuna hata chuo kina toa kozi hii hata kwa level ya short course ili kila anaetaka ku shape ubongo wake aende.
Kinacho leta shida ni nature ya biashara yenyewe ukilinganisha na nature ya wa Tz wengi wamepitia kwenye ukata, na huku mitandaoni swala hili limerahisishwa na linaendeshwa kienyeji kiasi kwamba hata hao trusted wenyewe hua wanatafuta pakutokea, kufanya hii biznec kuonekana nayo ni DUBU lililo changamka na halina makelele kama lile dubu la bar.
Haya ndiyo wengi tumejifunza kwenye hyo kitu TUTOE TONGOTONGO
Not for eeerOne wallah!Mwaka wa tatu wanaosoma Shahada ya Finance UDOM wanaisoma Financial markets sema wale ndo huwa wanafanikiwa sana kwa kuwa wanafundishwa mambo yote kuanzia Macroeconomics na Microeconomics na jinsi gani inavyoaffect Market na pia wanafundishwa Dow theory na Elliot wave theory kama technical analysis.
Ndo maana nikasema asilimia kubwa waliofanikiwa forex Wana background ya Economics na Finance degree.Not for eeerOne wallah!
Samahani , Ivi katika bonds (UTT) ukiweka 10 Mil unapata Gawio ngapi ?Itabidi tuwasiliane..asee Mimi Niko na forex,bonds,utt na DSE stocks
Saaawia kabisaNdo maana nikasema asilimia kubwa waliofanikiwa forex Wana background ya Economics na Finance degree.
Fatilia wakina Paul Tudor Jones, Karen Foo, Kathy Lien na George Soros. Wale hawafanyi sijui unachora trendline sijui liquidities, wale wanacheki economics za nch kwa kutumia economic data na policies za nchi husika( namaanisha fiscal policies na monetary policies), mambo ya yields, mambo ya trade surplus na trade deficit, effects za Brexit, China kama economic factors ya currencies na Commitment of Traders report ulimwenguni then wanafanya decisions.
.
Nakupa mfano, pale Uturuki, baada ya Erdogan kuchaguliwa kuwa Rais, akasema kuwa yeye ataenda na expansionary fiscal policy , kilichotokea Dollar-turkish lira pair ikapanda mno mno.
Kama unategemea kwa kuchorachora mt4 utakuwa profitable trader, aisee achana na forex, stocks na crypto fanya ishu nyingine.
Hii kama huna background ya uchumi achana nayo, it's not for everyone.
profit Inaenda account ya bankSamahani , Ivi katika bonds (UTT) ukiweka 10 Mil unapata Gawio ngapi ?
Ni lazima uweke Fixed Akaunti ?
Na fixed kuanzia Muda gani ?
Na Pesa ya Gawio inabaki humo humo au Inaenda kwenye Akaunti ya Benki ?
Iyo Fixed Akaunti inaanzia Miezi Mingapi ?profit Inaenda account ya bank
Si kweli broNdo maana nikasema asilimia kubwa waliofanikiwa forex Wana background ya Economics na Finance degree.
Fatilia wakina Paul Tudor Jones, Karen Foo, Kathy Lien na George Soros. Wale hawafanyi sijui unachora trendline sijui liquidities, wale wanacheki economics za nch kwa kutumia economic data na policies za nchi husika( namaanisha fiscal policies na monetary policies), mambo ya yields, mambo ya trade surplus na trade deficit, effects za Brexit, China kama economic factors ya currencies na Commitment of Traders report ulimwenguni then wanafanya decisions.
.
Nakupa mfano, pale Uturuki, baada ya Erdogan kuchaguliwa kuwa Rais, akasema kuwa yeye ataenda na expansionary fiscal policy , kilichotokea Dollar-turkish lira pair ikapanda mno mno.
Kama unategemea kwa kuchorachora mt4 utakuwa profitable trader, aisee achana na forex, stocks na crypto fanya ishu nyingine.
Hii kama huna background ya uchumi achana nayo, it's not for everyone.
Kwanini sio ukweli?Si kweli bro
Mbna hizi strategy unazoita za kuchora zinafanya kazi broKwanini sio ukweli?
Wakati statistics zinasema hivyo. Ushawahi kuona Karen Foo anafanya mentorship? Au George Soros anafanya mentorship? Paul Tudor Jones anafanya mentorship?
Sijawahi ona kwasababu wanavuna hela kwenye market. Na wote Wana Finance na Economics background.
Tuje kwako, je unaowajua wanaprofit humu bila economics background wanafundisha forex kwa hela? Nijibu.
Ndio hata Franscesco Magnetics anayo kuhusu uchumi maana alijisomea mwenyewe.Mbna hizi strategy unazoita za kuchora zinafanya kazi bro
Au unataka uniambie profitable trader wote wana hizo concepts za ki uchum?
Hhhhhhhhhhhhhha.uko sahihi bro ,I hope you are among of profitable trader since you know all these principlesNdio hata Franscesco Magnetics anayo kuhusu uchumi maana alijisomea mwenyewe.
Mwaka 2018 Sirjeff alikuwa anatumia technicals tu , kilichotokea aliunguza akaunti za watu na wakamuona tapeli mpaka Leo. Ila sasahivi anatumia both Macroeconomics na technicals , anapaa juu hatari sana.
Hakuna technical analysis traders peke yake bila Macroeconomics ambaye atakuwa profitable In a long run. Hizo screenshot za Instagram zinawavuta mtoe pesa ambazo wao wanazifidia kwenye loss zao.