Nitajihusisha na financial markets maisha yangu yote

Bro siku hizi things zimekuwa simplified hauhitaji kuchimba sana kuhusu uchumi wa nchi husika ili ujue currency yake ipoje hauhitaji kuwa deep in Finance ili ufanye Forex, kuna sites na Apps mbali mbali ambazo zinakupa mwanga wa nini kinaenda kutokea, utakubaliana na mimi kuna Apps za news hizi humsaidia traders kuelewa kiasi kuhusu Currency fulani ina news ambayo aidha italeta possitive au negative impacts kwenye currency husika, nimekuwa nikitumia hizo Apps kunisaidia kujuwa hizo taarifa na sipo deep kwenye Economics wala Finance nina Five years kwenye Fx now am Using mostly Price Action na kupitia some news ambazo zinakuwaga simplified na Apps na sites husika zinakwambia aidha kwa taarifa fulani ya kiuchumi ama yyte iliyotokea itakuwa na impact fulani kwenye currency hiyo so sio kweli lazima uwe na degree ya economics wala Finance, kikubwa juwa English ingiwa kwa sites hizo na soma kama currency fulani ina news kwa siku hiyo na italeta matokeo gani, kuna Sites kama Forex Factory, Investing.com, Myfx book, World economy, Fxstreet news pitia hizi and you are good to go kwenye currencies za pair unazozitumia, nasisitiza Price Action ni very important kwenye Fx na sio mistari mistari kama unavyoita... i am here to prove you wrong nimekuwa profitable for three years now since nimekuwa kwenye industry for five years, miaka miwili ya mwanzo ilikuwa ya kuhustle kuijuwa na now here i am na wala sina background ya economics wala Finance instead nina background ya pharmacy ni mfamasia hasaa.
 
Nahisi hujanielewa nimesema asilimia kubwa ya waliofanikiwa kwenye hii industry, baadhi wanekuwa consistent mpaka kwenye prop firms huko. Alafu kulearn Macroeconomics mbona hata wasiosoma Economics wanaweza pitia kwenye vitabu na videos za Karen Foo pale YouTube. Na mabadiliko yaliyoupdate algorithms kuanzia tarehe 01/07/2023 ,six months to come mtapigwa na kitu kizito technical traders maana tumetoka kwenye LIBOR MARKETS tumehamia SOFR MARKETS, nakupa taarifa.

Pili hizi sites kama myfxbook, investopedia na forex factory Zina market analysts ambao baadhi Yao sio traders na ni hatari sana kuamini maoni ya mtu kwa kuwa anaweza kuwa right or wrong.

Tatu, unatumia prop firms au unatrade kwenye account? Sikatai kuwa price action strategy inawork ila nakataa wanaosema inamove markets, hii ni uongo, kinachomove markets ni Macroeconomics.

Navojua mimi kwa experience yangu katika markets, Macroeconomics inatoa direction ya soko, alafu price action inareact kutokana na decisions zinatokana na hizi macros, macros sio tu economic data, Kuna geo-politics, kuna monetary policies hata move ya jana ya GU na pairs zilizokuwa pegged to USD ya. NFP inatokana na monetary policies ambazo market participants(non-commercials/commercials) wanazi-anticioate so wakaweka orders nyingi za kubuy na price action traders wengi wamepigwa za uso jana hasahasa wazee wa kuhold.

Mwisho nafurahi umesema na wewe unacheki news, Kuna mtu alisema technicals tu ye anatoboa jambo ambalo nimelikataa.
 
umerespond vizuri sana kuhuiana na huyo mtu anaitwa Ontario,. huyu ameharibu sana hii industry pamoja na mchango wake kidogo kwenye hii tasnia.
 
uko vizuri mr. alpha male😂
 
Retail traders wengi ni day traders hivyo macroeconomics kwao ni kama kujisumbua na kupoteza muda, yeye analenga kupata pips 40 to 70 chap kwa masaa kadhaa. Sasa mtu kama huyo aende kuchambua sijui geopolitics ya nini....!
 
Retail traders wengi ni day traders hivyo macroeconomics kwao ni kama kujisumbua na kupoteza muda, yeye analenga kupata pips 40 to 70 chap kwa masaa kadhaa. Sasa mtu kama huyo aende kuchambua sijui geopolitics ya nini....!
Mwanzoni niliwahi dhani hivyo ila baadaye nikagundua kuwa hata scalpers wanatakiwa kuwa na knowledge hata ndogo ya Macroeconomics hasahasa kuelewa ile economic calendar.

Ngoja nikupe mfano tokea Jumatatu na wiki iliopita, Taifa la Jumuiya ya Wachina walitoa data ya kushuka kwa PMI , hii ilimaanisha imports ni chache kuliko exports, baada ya taarifa hiyo tu, EURUSD alishuka mpaka siku ya Alhamisi maana ukanda wa Euro huwa wanapigwa sana na news kutoka uchina. Hapo daytraders na scalpers walikuwa wanatafuta sell setups tu mwisho ikiwa Alhamisi saa kumi na mmoja jioni kupisha ADP news na Jolts jobs opening. Baadaye news mbaya ikatoka kwa USD, maana yake ni kuwa Unemployment imeongezeka mwezi June so matraders wanaamini kuwa itakuwa ngumu kwa FED kuraise interest rates ila wataamua kupause, EURUSD&GBPUSD NA GOLD zikaanza kujitune kubuy since Alhamisi, hapo daytraders na scalpers wanabidi watafute buy setups na NFP akawa upande wa buyers maana Kuna correlation kubwa sana ya ADP, Unemployment claims na JOLTS JOBS OPENING.

Katazame charts na economic calendar utaelewa nachokiandika.

Mfano wa pili ni Uchaguzi wa Uturuki, Rais Erdogan alipochaguliwa kuwa Raisi, aliweka mtazamo wa kuwa hapa lazima tu-cut interest rates, USDTURKISH LIRA ikapanda, hapa daytraders inabidi atafute buysetups tu Kila siku mpaka pale atakaposikia wamebadilisha maamuzi , ilipanda kwa wiki tatu, imagine ungekuwa na hii knowledge, hata kutaka pesa za mentorship huwazi kabisa ni ndogo mno kwa pesa zilizopo sokoni kwa dump money.

Mfano wa mwisho, JPY pairs , mwangalie GBPJPY na pairs za JPY, Gavana mpya wa Bank of Japan alitangaza kuwa Japan wataremain na low interest rates ya 0.1% alaf Mr. Bank Of England, Bank of Australia, FED wao wanafanya rates hike . JPY kagawa utamu mwezi mzima............na ukimtazama GBPJPY, hakuna technical traders angewaza kuingia maana angejiona amechelewa na pia price ilikuwa Haifanyi collection, kama USDTURKISH LIRA.

ANYWAY NAKUPA MSEMO MMOJA WA BEST SINGAPORE FOREX TRADER, KAREN FOO " 90% OF RETAIL TRADERS LOSE MONEY BECAUSE THEY HATE MACROECONOMICS WHICH MOVES THE MARKETS".

MWISHO AMINI UNACHOKIAMINI, ILA IN A LONG RUN TUTAZALISHA WATU KAMA ONTARIO WANAODANGANYA WATU KUPITIA MENTORSHIP KUWA TECHNICAL ANALYSIS IS ENOUGH. WAULIZE KWANN SASA WANAFUNDISHA KWA PESA WAKATI WANASEMA FOREX INA PESA NYINGI SANA.

Karen Foo anafundisha Bure kabisa. Michael J Huddleston, mgunduzi wa SMC ukisikiliza Twitter space zake yeye huwa ni Macroeconomics tu.
 
si ndo unavojiita kwenye post zako
Kweli mi ni alpha male. Huwa nahakikisha demu ananipenda asilimia 70% mi 30%, maana ikiwa viceversa ntageuka kuwa bwege .

Mademu waone hivihivi na ukitaka ujue kama anakupenda mnyime attention them msikilizie, usijibu text, asipopiga simu, hakupendi huyo boya, we kula na upite hivi.
 
kwahiyo unatrade market zipi
 
Bro its simple .... Techinical analysis inakwambia where to enter while Fundamentals zinakwambia when to enter... so ni vitu kamwe haviwezi achana and ipo hivi hakuna kitu itawahi badilika, Market inaendeshwa na IPDA na haitawahi badilika hicho kitu,,,,, utapotea kama mtu atakuwa akitumia ma retail patterns ambayo kiuhalisia yapo kwaajili ya kutrap retails ambao kifupi 90% hawajui mambo yalivyo,,,, sisi tuliopo kwenye 10% iliyobaki bro hatutetereki eti kuna siku vitu vitabadilika we are here after hiyo six months nitakurudia.
 
Kumbe we ni mwana ICT mwenzangu. Sentensi yako ya mwanzo ndo principle yangu, Fundamental analysis iniambie price inaenda wapi na technicals iniambie naingia wapi. Kama nilivomuelezea jamaa apo juu na mifano.

IPDA bhana bila fundamental analysis unaweza liwa za kichwa.

By the way mi ni mhitimu wa ICT pale YouTube ila nimechukua tools zake na kutengeneza strategy na nimemtumia both fundamental analysis and ICT, Sijapata loss mwezi wa June.

And lastly ni kweli ICT anasema it's all about Liquidity ila sio markets zote zinaendeshwa Kwa IPDA data ranges , Kuna mtu anaitwa Dow Jones indices, US 30. Yule ni Fib tu unatelezea maana Yuko very volatile , hana muda na Liquidity although inatokea mara chache na pia JPY pairs ni mmoja ambaye haheshimu IPDA mara kwa mara(although sometimes anajiheshimu ndo maana Michael huwa hapendi sana kutrade ile) yule hata ukitumia hizi retail concepts kama patterns na news unatoboa. Maana yule anaendeshwa na carry trade ORDERFLOW.
 
kwahiyo unatrade market zipi
Foreign exchange na indices mkuu.
Mostly Forex. Pairs natrade yoyote ambayo naielewa Macroeconomics yake kwa wiki hiuo
Sema bro sio utani wameupdate forex kuanzia mwezi huu na kuendelea, wametoka kwenye LIBOR MARKETS to SOFR MARKETS, MABADILIKO HAYATAONEKANA PAPO KWA PAPO, NI PROCESS NA WAMETANGAZA(NAMAANISHA FED, BENKI KUU YA MAREKANI).

EXPECT A FASTER MARKETS, KUNA MABADILIKO NISHAANZA YAONA KWNYE SPEED IKITOKEA NEWS RELEASES HATA ZILE ZA MEDIUM NEWS MFANO HIYO CHINESE PMI.

ANYWAY LET'S HOPE HIYO UPDATES HAIBADILISHI ALGORITHMS. ILA ICT YUPO ATATUAMBIA, TUFUATILIE TWITTER SPACES ZAKE.
 
hebu mkuu be honest....

unaingiza hela?? yaani namaanisha hiyo ndo ajira yako inakulipia kila kitu??

is it sustainable??
To be honest , nilianza kuwithdraw pesa mwaka jana baada ya kuwa inconsistent kwa mwaka mzima(namaanisha 2021). Ila sijapoteza pesa nyingi, nimechoma akaunti chache , kwasababu ilikuwa nikichoma tu, narudi kwenye charts naweza Kaa hata miezi miwili nikichunguza kwanini, hapo ndo nikaanza kupiga Macroeconomics, ndo ikanipa mwanga wa kwanini.
 
Sure kaka nimefurahi kujuwa tupo kwenye boti moja sana we ni ndugu yangu kabisa kumbe[emoji23][emoji23], vijana wa baba mmoja fundi Michael J Hudson.
 
kwa hiyo sasaivi uko sustainable
 
Kabisa , zile patterns za kina retail zimenichomea akaunti aisee. Sina hamu sijui head and shoulders, sijui trendline.
Sure kaka nimefurahi kujuwa tupo kwenye boti moja sana we ni ndugu yangu kabisa kumbe[emoji23][emoji23], vijana wa baba mmoja fundi Michael J Hudson.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…