Nitajihusisha na financial markets maisha yangu yote

Nilikuambia kuhusu SOFR MARKETS, umeona market inavoreact na news, moto wa gas, yaani PPI inatembea pips 100.
 
Bro elimu ya macroeconomics wewe umejifunzia wapi? Maana naona bado nina safari kidogo kwenye hii game
Vitabu.
Pia Kuna YouTube channel moja ya Karen Foo, Best female Singapore forex trader ( ana mpaka tuzo, wenzetu wa first world countries na second wanaiheshimu sana forex), hapo nimepata madini kutoka kwake.
 
Nilikuambia kuhusu SOFR MARKETS, umeona market inavoreact na news, moto wa gas, yaani PPI inatembea pips 100.
Sure man baada ya ile disc ilibidi nikacheki and niliona FED aliongea hizo mabadiliko,,,, but not only that reaction ya Market na news for real imekuwa booom[emoji91][emoji91][emoji23] ukicheza kuna namna unalia but kuna kitu hiki nimekifatilia mwaka wa tano now,,, News hazibadilishi Direction ya market ispokuwa zinaongeza Volatility ya market, ama speed ya price ila kama Technical yako umefanya vizuri hasa since mwanzo utaona price inaend speed pengine kwenye kwenye Correct POIs na mambo kama hayo... I salute yah bro, unajuwa nini nina muda i even don't use kufatilia news sana, coz huwa najuwa nikifanya Tech fresh hata news zinapokuja zinarespect am saying this with experienc na ndo maana hata entry naweka sometimes befor even big news and things zinaend poa,, mfano wiki iliyopita ile ya nyuma tulikuwa na NFP na hata sikuwa nakumbuka but nilikuwa sokoni but sijawahi adhibiwa na News since nilipojuwa vizuri Tech,,,, ila ni ukweli usiopingika kuwa Forex,Stock, Crypto Markets zinaendeshwa na News.
 
Hii mabadiliko ya sasahivi, yaani USDCHF anatembea pips 250+, sijawahi ona kitu hiki kwenye pair ya USDCHF.

HAPA KIKUBWA RISK MANAGEMENT NA PROFITABLE STRATEGY MAANA HII SOFR MARKET NI KIBOKO.
 
Hii mabadiliko ya sasahivi, yaani USDCHF anatembea pips 250+, sijawahi ona kitu hiki kwenye pair ya USDCHF tena kwa muda mfupi.

HAPA KIKUBWA RISK MANAGEMENT NA PROFITABLE STRATEGY MAANA HII SOFR MARKET
 
Nilikuambia kuhusu SOFR MARKETS, umeona market inavoreact na news, moto wa gas, yaani PPI inatembea pips 100.
Nafurahi kupitia thread hii niliyoleta nimezidi kujifunza mengi sana, sometimes nakuwa kimya nafatilia yanayoendelea, naona vile watu mpo vizuri man na mnazidi kutufunguwa I really apreciate hasa nondo zako unazozimwaga hapa, na pia naona watu wengine wanavyojaribu kukatisha tamaa, nimeona kuna mtu juu kule ali-comment kuwa niseme kama tayar nimeshaanza kulala njaa[emoji23][emoji23], so zote ni changamoto ni vile pia hatufahamiani labda, wakat pengine hatua hiyo tumepita muda.
 
[emoji23][emoji23] nilifkiri nimeona peke yangu... USDCHF katu-suprise
Aisee hujaiona peke yako, mi wiki hii nilipanga nimsell EURNZD baada ya kuona EURX anaonyesha dalili ya kusell, Sasa nikasema ngoja nimcheki Dollar swiss, aisee niliona huu ni moto.
 
Vitabu.
Pia Kuna YouTube channel moja ya Karen Foo, Best female Singapore forex trader ( ana mpaka tuzo, wenzetu wa first world countries na second wanaiheshimu sana forex), hapo nimepata madini kutoka kwake.
Singapore naona wapo vizuri kwenye hii industry wana trader wengi wazuri na waliofanikiwa kama akina Adam Khoo na Reyner Teo
 
Uko vizuri Mkuu, Economic Calendar ukijua kucheza nayo hupati tabu Sokoni...
 
Singapore naona wapo vizuri kwenye hii industry wana trader wengi wazuri na waliofanikiwa kama akina Adam Khoo na Reyner Teo
Wako vizuri alafu wako serious sana, kule mamentors hawana njaa.

Wanafundisha seminars kuhusu forex Bure labda kama unataka ile ya personal ndo utatoa hela.
 
Nyuzi na mijadala kadhaa za financial markets nimekua nikiwapa watu hii edge ya fundamentals lakini kwa bahati mbaya hua hawaelewi. If you want to be successful in this industry fundamental haikwepeki. Fundamental ndo inakupa uelekeo wa price then technical itakusaidia kujua mda gan na wapi ufanye entry yako baada ya hapo risk management mchezo imeisha.
 
Ila Forex wala sio issue ya kubahatisha vipo vitu vya kufata na utajuwa nini kinatokea hatua zote.. kila kitu utakifahamu na hakun supriz yyte utakayoiona kwenye Market kila kitu/price moves zote utazijuwa.
Kama unajua moves zote inaonekana wewe uko vizuri mno financially, hebu tuwekee trade history yako ya mwezi uliopita
 
Kama unajua moves zote inaonekana wewe uko vizuri mno financially, hebu tuwekee trade history yako ya mwezi uliopita
Kaka ili ikusaidie nini hasaaa?? Nipo hapa kwaajili ya ku-prove kuwa nipo right?? Nadhani post imejitosheleza kueleza nini nilichotaka kuongelea na nadhani hilo ndo lilikuwa lengo hasaaa, pia sipo hapa kwaajili ya kuonyesha kuwa nipo sahihi ama laa kwa kiasi gani.

Barikiwa kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…