Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa mpaka najifungua mstari hautokiMkuu ,,, kama hukuwah kumpa mimba huko nyuma nampaka anaondoma masomon hakuwahi kupata mimba ,,,,,, naomba uangalie ule mstari wa uzazi kama upo?? Huwa unaanzia eneo LA nywele za chin nakupanda kufuata kitovu ,,
N.b , wengine huwa nao toka wamezaliwa ,lkn akishapata mimba tu unakolea zaidi .
N.b wengi huwa hawana huo mstari na akishapata mimba tu ndo unaanza kutokeza .alafu siumuangalie usoni tuu . yaan mschana wako ushindwe kujua mabadiliko yake yamwili ??
Mkuu unazengua sema pole sana .
Jaribu izo hints
Well ,,Basi mshukuru Mungu !!.Mimi huwa mpaka najifungua mstari hautoki
Na pia kwa mimba changa sidhan Kama mstari unatokaga
hasante mkuu kwa ushauri ila ukweli inauma sana na inaondoa uaminifu wote
siyo kila ambacho hakina faida kwako basi na wengine kama wewe, hujui kwamba kwa mwingine sumu ila kwa mwingine dawa, jifunze kuandika kiustarabu. am outKuna taarifa zingine hazinaga faida hata kujua..
Hakina faida mana ni tukio ambalo kama mtu amefanya u can't undo...i.e.the pastsiyo kila ambacho hakina faida kwako basi na wengine kama wewe, hujui kwamba kwa mwingine sumu ila kwa mwingine dawa, jifunze kuandika kiustarabu. am out
Fanya mambo ya msingi kaka hachana na uvujifu wa muda.. muda wako waleo ndo kipatochako cha keshonapenda kujua tu then nitapata maamuzi baada ya kujua ila mstari nimeshacheki na hana na nimekwenda kucheki hospital hana mimba ila ninachotaka kujua je alitoa kwani yeye anadai hakuwai kutana na mtu yeyote