Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

Mimi huwa mpaka najifungua mstari hautoki

Na pia kwa mimba changa sidhan Kama mstari unatokaga
 
Mkuu kama katoa zaidi ya mwezi mmoja hata kwenye vipimo huwez kupata jibu sahihi ing'ekuwa chini ya hapo ung'efanikiwa pia kuna mabadiliko ya kimwil mfano kuongeza matiti, nyonga kutanuka unaweza kufanya utafiti kidogo
 
Kuna taarifa zingine hazinaga faida hata kujua..
 
Kuna taarifa zingine hazinaga faida hata kujua..
siyo kila ambacho hakina faida kwako basi na wengine kama wewe, hujui kwamba kwa mwingine sumu ila kwa mwingine dawa, jifunze kuandika kiustarabu. am out
 
siyo kila ambacho hakina faida kwako basi na wengine kama wewe, hujui kwamba kwa mwingine sumu ila kwa mwingine dawa, jifunze kuandika kiustarabu. am out
Hakina faida mana ni tukio ambalo kama mtu amefanya u can't undo...i.e.the past
 
ulitakiwa uulize sababu na siyo kusema eti haina faida, kama umeenda shule utakubaliana nami kuwa waalimu huwa wanasema always hakuna swali lisilo la maana, hence hata hili lilikuwa na maana na faida kwa aliyeuliza.
 
napenda kujua tu then nitapata maamuzi baada ya kujua ila mstari nimeshacheki na hana na nimekwenda kucheki hospital hana mimba ila ninachotaka kujua je alitoa kwani yeye anadai hakuwai kutana na mtu yeyote
Fanya mambo ya msingi kaka hachana na uvujifu wa muda.. muda wako waleo ndo kipatochako cha kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…