Nitajuaje kama ni Afisa wa TAKUKURU au anataka kuniibia?

Mleta mada na huyo unayedaia amekupigia simu wote mnaonekana wahuni na matapeli.
Yaani wewe unafanya kazi ofisi nyeti halafu hujui utaratibu wa kuitwa na PCCB? Au kazi ulipewa na anko wako?
 
Mara nyingi kuogopa utapeli usije taja namba yako kwa sauti eneo la watu wengi mfano unasema kwa sauti namba yangu ni .....matapeli huwa wanarekodi na wao usishangae kesho kupigiwa simu na Takukuru hewa au za tuma pesa kwa namba hii
 
Ukikaa vibaya unapigwa

Ila umedhihilisha kua una vimeo vyako ndio maana umetikisika.
Nikutahadharishe tuu.. vimeo vyako vinajulikana na ndiomaana hata matapeli wamejua jinsi ya kukutikisa.

Siku moja meneja akiwa na subordinate wake walihandle ishu flan. Ilikua nzito kiasi chake. In the end walichezesha wakapata milioni Sita mambo yaishe.. Nakumbuka hizo hela zilienda kupokelewa umbali wa kilometer 80. Mimi nilijua kwa njia zangu tuu, ila sikushilikishwa.
Bwana wee.. baada ya siku 4, wakapokea simu kama uliyopokea wewe. Ofisini hapakukalika.

Kila baada ya nusu saa wanaitana kwa meneja.
Mara wawashe gari waende mjini. Mara watafute polisi watakae mtrust wamwambie ukweli af awasaidie kumtafuta aliyewapigia simu, ikawa taflani.
Shortly, jamaa alikua tapeli ila waliyumba kwasababu wana vimeo vyao.

Wewe umepewa ishara ya kujirekebisha, upanga kwaajili yako unanolewa.
Sipati picha meneja akihaha na watumishi wake
 
Tembelea kituo chochote cha polisi mkuu
 
Mkuu ni kweli naweza kuwa na vimeo,ambavyo hata mimi ningependa nichunguzwe kuliko kubaki na hisia za watu kila siku.Ukiwa kwenye nafasi za maamuzi haya ni mambo ya kawaida na kuaminika kwa staff wako ni ngumu.Nilishaitwa zaidi ya mara 4 na zote nilisafishwa na haox2 ndio maana bado nipo hapo.Uzuri wa PCCB wana utaratibu mzuri,wanakuhoji bila stress za kulazimisha walichokihisi
 
Mleta mada na huyo unayedaia amekupigia simu wote mnaonekana wahuni na matapeli.
Yaani wewe unafanya kazi ofisi nyeti halafu hujui utaratibu wa kuitwa na PCCB? Au kazi ulipewa na anko wako?
Ha ha..hapana kaka,kujihami tu
 
Back
Top Bottom