Nitajuaje kama ni Afisa wa TAKUKURU au anataka kuniibia?

Mleta mada na huyo unayedaia amekupigia simu wote mnaonekana wahuni na matapeli.
Yaani wewe unafanya kazi ofisi nyeti halafu hujui utaratibu wa kuitwa na PCCB? Au kazi ulipewa na anko wako?
 
Mleta mada na huyo unayedaia amekupigia simu wote mnaonekana wahuni na matapeli.
Yaani wewe unafanya kazi ofisi nyeti halafu hujui utaratibu wa kuitwa na PCCB? Au kazi ulipewa na anko wako?
Mara nyingi kuogopa utapeli usije taja namba yako kwa sauti eneo la watu wengi mfano unasema kwa sauti namba yangu ni .....matapeli huwa wanarekodi na wao usishangae kesho kupigiwa simu na Takukuru hewa au za tuma pesa kwa namba hii
 
Sipati picha meneja akihaha na watumishi wake
 
Tembelea kituo chochote cha polisi mkuu
 
Mkuu ni kweli naweza kuwa na vimeo,ambavyo hata mimi ningependa nichunguzwe kuliko kubaki na hisia za watu kila siku.Ukiwa kwenye nafasi za maamuzi haya ni mambo ya kawaida na kuaminika kwa staff wako ni ngumu.Nilishaitwa zaidi ya mara 4 na zote nilisafishwa na haox2 ndio maana bado nipo hapo.Uzuri wa PCCB wana utaratibu mzuri,wanakuhoji bila stress za kulazimisha walichokihisi
 
Mleta mada na huyo unayedaia amekupigia simu wote mnaonekana wahuni na matapeli.
Yaani wewe unafanya kazi ofisi nyeti halafu hujui utaratibu wa kuitwa na PCCB? Au kazi ulipewa na anko wako?
Ha ha..hapana kaka,kujihami tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…