Asante sana mkuuKama ni AWD manufacturer atakuambia.. Ila wewe unahitaji kujiridhisha na sio kuambiwa..
Fanya hivi..
Tafuta jeki 4..weka mbele na nyuma kila upande.. Nyanyua gari.. Weka D kama ni Auto.. Shuka ujiridhishe tairi zipi zinazunguka..!
- AU-
Ingia chini ya uvungu wa gari.. Tafuta drive shaft.. Jiridhishe kama ipo kuanzia front to rear axle..!