Nitajuaje kuwa Gari ninayoendesha ni AWD?

Ntozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
226
Reaction score
300
Msaada kwenu wataalam,najiridhishaje kuwa Gari ninayoendesha ni AWD?
Maana unakuta mafundi wanakwambia tu kuwa hiyo Gari siyo rahisi kukwama huko vijijini maana ni AWD. Lakini nitafanya nini ili nijiridhishe?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama ni AWD manufacturer atakuambia.. Ila wewe unahitaji kujiridhisha na sio kuambiwa..
Fanya hivi..
Tafuta jeki 4..weka mbele na nyuma kila upande.. Nyanyua gari.. Weka D kama ni Auto.. Shuka ujiridhishe tairi zipi zinazunguka..!
- AU-
Ingia chini ya uvungu wa gari.. Tafuta drive shaft.. Jiridhishe kama ipo kuanzia front to rear axle..!
 
Asante sana mkuu

Back
Top Bottom