Nitajuaje kuwa nimepatwa na hasad au na mambo ya ulozi?

Nitajuaje kuwa nimepatwa na hasad au na mambo ya ulozi?

Ila Mimi hapo kwenye kupeleka kuku Ndo siwezi, Yani nisijichane mikuku mie nikampelekee mganga🤣 hao wananzengo waniue tu.....ila ukimpata mganga anayetibu Kwa kabichi nipitie twende🤣
Kama kabichi ina damu sawa.
 
Ila Mimi hapo kwenye kupeleka kuku Ndo siwezi, Yani nisijichane mikuku mie nikampelekee mganga🤣 hao wananzengo waniue tu.....ila ukimpata mganga anayetibu Kwa kabichi nipitie twende🤣
Kuna mwanangu mganga hao kuku akiwauzia wauza chips
 
Habari wakuu,

Naomba wataalamu wa kuchanganua mambo ya ulozi na hasad mnipe msaada hapa.

Nimekua na series ya matukio ya bahati mbaya yaan matukio lukuki mpaka nawaza kua pengine nimepigwa na mambo ya ulozi au hasad.

Naomba wajuvi wa haya mambo wanipe msaada wa haraka hali ni mbaya sana wakuu.

Kichwa changu naona kama kina dereva mwengine anakiendesha.

Akina Mshana jr na wenzake nawaomba huku tafadhali.
Bora Mshana ulishafika🤔.Tupe mwongozo
 
Ila Mimi hapo kwenye kupeleka kuku Ndo siwezi, Yani nisijichane mikuku mie nikampelekee mganga🤣 hao wananzengo waniue tu.....ila ukimpata mganga anayetibu Kwa kabichi nipitie twende🤣
Huko ndio tutaenda kuongeza matatizo zaidi,dawa hapo tiba ya akili,tena waweza kuta ushauri tu🤔
 
Mkuu ,baadhi ya dalili nyingi za kufanyiwa uchawi na hasad ninazo

Naomba niseidie nafanyaje kuindoa hayo mambo
Kwasababu maswala haya ni ya kiimani zaidi ningependa kufahamu wewe ni dini gani ?
 
Back
Top Bottom