....mtangulize mwenyezi mungu, sali, funga, omba dua sahihi....NAYE atakujibu kwa siri na dhahiri, atakujibu kwa Ndoto na matendo yaliyodhahiri.
Katika maisha ,hufika wakati ambapo m2 hutakiwa kuamua ni nani wa kuwa life partner wake. Kusema kweli inaweza kuonekana kama jambo jepesi,linalohitaji kutazama 2 na kuamua,lakini yale tuyaonayo kwa waliotutangulia ktk maish ya ndoa yamekuwa yakituvunja moyo. Na tukisema uchunguzi wa kina juu ya tabia na mwenendo wa msichana ufanyike swali pia laja ni nanma gani,kama si tayari mmeeshkuwa ktk mausiano,help me please.
Mbu umenena vyema! Ila hili jina lako la Mbu halienezi kweli Malaria?