Nitajuaje mke afaaye kwa mimi kumoa,nishaurini

Nitajuaje mke afaaye kwa mimi kumoa,nishaurini

feeeeez

Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
8
Reaction score
5
Katika maisha ,hufika wakati ambapo m2 hutakiwa kuamua ni nani wa kuwa life partner wake. Kusema kweli inaweza kuonekana kama jambo jepesi,linalohitaji kutazama 2 na kuamua,lakini yale tuyaonayo kwa waliotutangulia ktk maish ya ndoa yamekuwa yakituvunja moyo. Na tukisema uchunguzi wa kina juu ya tabia na mwenendo wa msichana ufanyike swali pia laja ni nanma gani,kama si tayari mmeeshkuwa ktk mausiano,help me please.
 
Lazima uwe kwenye mahusiano na mtu ndo ujue kama ana kufaa ama lah! Usipokua nae karibu huwezi kumfahamu kwa undani na ndo maana mahusiano hua yanavunjika kila mara cause wahusika wanashindwa kucope na tabia fulani za wapenzi wao!..utajua kama anakufaa through matendo yake na hisia zake kwako thats all.
 
....mtangulize mwenyezi mungu, sali, funga, omba dua sahihi....NAYE atakujibu kwa siri na dhahiri, atakujibu kwa Ndoto na matendo yaliyodhahiri.

swadakta Mbu
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni kumshirikisha mungu kwa binadamu pekee hatuwezi.
 
Muweke mungu mbele siyo macho yako mbele!
 
....mtangulize mwenyezi mungu, sali, funga, omba dua sahihi....NAYE atakujibu kwa siri na dhahiri, atakujibu kwa Ndoto na matendo yaliyodhahiri.

Mbu umenena vyema! Ila hili jina lako la Mbu halienezi kweli Malaria?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Katika maisha ,hufika wakati ambapo m2 hutakiwa kuamua ni nani wa kuwa life partner wake. Kusema kweli inaweza kuonekana kama jambo jepesi,linalohitaji kutazama 2 na kuamua,lakini yale tuyaonayo kwa waliotutangulia ktk maish ya ndoa yamekuwa yakituvunja moyo. Na tukisema uchunguzi wa kina juu ya tabia na mwenendo wa msichana ufanyike swali pia laja ni nanma gani,kama si tayari mmeeshkuwa ktk mausiano,help me please.

Apply same principle as in business, to get married you have to accept the risk associated with living with a person whom you don't know her inner feelings. She may be ADD AND MULTIPLY CHARACHTER (atakufanya uwe tajiri) or SUBSTRACT AND DIVIDE CHARACTER (Huyu atakuzidishia umaskini, kazi yake ni kutapanya ulichonacho kikiisha anakukimbia)
 
mke mwema hutoka kwa mungu na mungu alishamuandalia kila m2 mume au mke wa kuoa bt 2mekua 2kijidangany na kusindikizana na wa2 ambao hatujapangiwa nao, relax muombe mungu atakupa 2 not frm heavn bt hapa dunian and be serious
 
Msaidieni kijana kwa kumwambia ukweli kuwa 'Mambo haya ndugu yetu hayana mjuzi'. Hao wanaokwambia mshirikishe Mungu ni kweli, ila bado ni nadharia zaidi! Kimsingi chagua kuwa na mwenza ambaye roho yako inavutiwa naye, na uelewe kabisa kuwa huyo ni binadanu tu na anaweza kubadilika muda wowote. Kadiri uwezavyo jitahidi kuwa mkweli kukemea tabia usizozitaka, vivyo hivyo umsikize naye pia anataka nini. Ndio ushauri wangu tu
 
kama hujui mke gani ni perfect for you to marry..should you be marrying at all??
 
Ushauri wangu ni kwamba; mhusishe sana MUNGU maana bhana hakuna formula kabisa kuna watu wanajua ku-pretend, hata kama itawachukua kupoteza some of thier valuable materials hata identity lakini sasa mmeshaingia kunako ndoa, hapo ndipo vitimbi huanza, lile neno Mpenzi hugeuka kuwa mshenzi, yaani mimi naamini ni MUNGU tu hakuna mwanadamau anaeweza kuhakikisha kuwa huyu ndio choice yangu ya kuishi nae for the rest of my life, hakuna Mpwa.\

Mimi nimeoa na kabla ya kuoa tulikua na uhusiano zaidi ya miaka kumi na kidogo hata hivyo haijasaidia sana maana kama ni tofauti naona zipo tu na kufanana kupo tu ila ni Neema ya MUNGU ndio inatuongoza hadi leo hii tuna miaka kadhaa kwene ndoa
 
Mbu umenena vyema! Ila hili jina lako la Mbu halienezi kweli Malaria?

....hahaha, e bana wewe chukua alphabets zote za jina la MBU + alphabets za MALARIA,
zipindue pindue juu chini utapata jibu. Thanks for asking bana,...:second:
 
yaani wee una maswali kama fomu wani, ina maana hata tabia au sifa za mke unayemtaka hujui ziweje?

Umeishi dunia gani?
 
Ndugu yangu sidhani kama kuna kigezo cha moja kwa moja cha kuangalia no hard n' fast rule cha muhimu ni kujitahidi kumsoma tabia na kuufuata moyo wako, kipendacho moyo.................?
 
mnh ulikuja na topic utajuaje kusex na wewe hujawahi kufanya,na sasa hivi utajuaje tabia za mke, kwani una miaka mingapi tusije tukawa tunakukomaza bureee:sleepy:
 
Piga mimba kwanza ndo utajua kama anakufaa au hakufai
 
Back
Top Bottom