Ndugu wanajukwaa, nawasalimu kwa jina la Mungu baba muumba wa Dunia na Tanzania yetu na wake.
Napenda kuwashirikisha kuwa inshallah katika umri wa miaka 62 ninampango wa kuanzisha chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM.
Basi na ikawe heri nawatakia maisha marefu sote tushiriki kuyaishi yote yaliyo ya ndoto zetu.
Amen