Nitakosea nikiendelea na huyu Binti? Roho inaniuma sana

Mrudie ufurahie maisha MKUU.. pengine yupo humu jf na ameinjoy na stori yenu
 
Wee kula mtoto huyo acha wenge au hujui madingi hayajuagi wala hayataki kujua anaekula mwanae...
Kikubwa usimpe mimba tu
 
Kwahiyo kwa kuwa unamheshimu baba yake ni haramu kuwa na mahusiano na binti yake?

Watanzania mnapenda kuchanganya mambo.
 
Tupe mrejesho umeacha mawasiliano nae au bado unachakata
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…