Jina libadirishwa uitwe Karume HIO New Amani watu hawajaielewa kabisaKwa hiyo tufanyeje
Wewe UPO uwanjani Muda huu?Hizi nyasi zake ni fake kwanza..
Hakuna shida katika hizo billboards,mkuu.Hizo LED Billboard ya matangazo iko so close na Pitch, tutegemee Majeraha ya Wachezaji kuumia kutokana na kujigonga kwenye hayo mabango mf angalia kilichompata Soppu ni mfano tosha.
chadema acheni ujuajiNyasi zimesha-expire.
Mtu akipiga mpira zinatoa vumbi (carbon).