Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora

Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora

falcon Q

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2023
Posts
972
Reaction score
2,569
Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora kuanzia kwenye pitch hadi setting kuanza na taa mpaka kwenye billboards kuzunguka uwanja kama hakuna project ya maboresho na sidhani kama CAF wanawezesha upitisha kutumika kwenye michuano ya AFCON.Hauna ubora unaosemwa
 
Hizo LED Billboard ya matangazo iko so close na Pitch, tutegemee Majeraha ya Wachezaji kuumia kutokana na kujigonga kwenye hayo mabango mf angalia kilichompata Soppu ni mfano tosha.
 
Nyasi zimesha-expire.

Mtu akipiga mpira zinatoa vumbi (carbon).
 
Hizo LED Billboard ya matangazo iko so close na Pitch, tutegemee Majeraha ya Wachezaji kuumia kutokana na kujigonga kwenye hayo mabango mf angalia kilichompata Soppu ni mfano tosha.
Hakuna shida katika hizo billboards,mkuu.

Kama Umeenda chamazi utaona zipo karibu zaidi ya huo uwanja wa Amaan na wachezaji hawaumii.

Hiyo ya Soppu kujigonga ni ajali tu ambazo Huwa zinatokea viwanja vingi pindi mchezaji akifanya tackling.
 
Sawa nenda bungeni kamwombe spika wa ujadili marekebisho ya uwanja wa taifa unahitaji ujengwe upya tena wauweke kwenye bajeti ya 2030 to 2070
 
Hakuna uwanja pale
Binafsi bado naamini Karia akiacha kuweweseka Kila final itapigwa Benjamin Mkapa hadi hapo hivyo viwanja vingine vitakapokuwa poa
 
Back
Top Bottom