Nitakumis sana Niffah

Asikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa.
Sijui watu wengine wakoje!

Wapo wengine huwa wanadanganya wananijua,nikiambiwa wanavyonielezea naishia tu kucheka.
JF hii hatari sana [emoji23]
Mzoea udalali duka haliwezi
Mdomo jumba la maneno
Wacha waseme usiku watalala
Mpe wako muhibu, mapenzi ayahutubu.
 
Dah kweli yawalimwengu kwa walimwengu.... Mbna nifah hana shida kwann ufurahi yeye kuwa banned... Roho kubwa
Siwezi kupendwa na wote mkuu,hata hivyo nadhani jamaa alikuwa anatania.
 
Lakini ban niliyopigwa mimi ni ya kipekee bado naruhusiwa kuchangia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha story flani hivi kwenye vile vitabu vya story za manenge na mandawa kuna jamaa wenzie waliuawa akabaki yeye,wauwaji walipokuwa wanaondoka akaropoka "bora mimi sijasema" akauawa palepale
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…