Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sawa karibu uni ban mkuuMkuu hili ni kosa kisheria, unastahili ban.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa karibu uni ban mkuuMkuu hili ni kosa kisheria, unastahili ban.
Mzoea udalali duka haliweziAsikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa.
Sijui watu wengine wakoje!
Wapo wengine huwa wanadanganya wananijua,nikiambiwa wanavyonielezea naishia tu kucheka.
JF hii hatari sana [emoji23]
Am gratefulFree at last
subiri kidogo watakuona tu askari kanzu wa humu.Sawa karibu uni ban mkuu
Alifanya kosa kubwa sana,bahati yake.Mkuu hili ni kosa kisheria, unastahili ban.
Siwezi kupendwa na wote mkuu,hata hivyo nadhani jamaa alikuwa anatania.Dah kweli yawalimwengu kwa walimwengu.... Mbna nifah hana shida kwann ufurahi yeye kuwa banned... Roho kubwa
Sawa kaka ntashukuru sanasubiri kidogo watakuona tu askari kanzu wa humu.
Apewe ban kidogo, kosa lake lina athari kubwa sana kwa sisi tunaotembeleana pm.Alifanya kosa kubwa sana,bahati yake.
Hata hivyo nimeshamsamehe,asamehewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha story flani hivi kwenye vile vitabu vya story za manenge na mandawa kuna jamaa wenzie waliuawa akabaki yeye,wauwaji walipokuwa wanaondoka akaropoka "bora mimi sijasema" akauawa palepaleLakini ban niliyopigwa mimi ni ya kipekee bado naruhusiwa kuchangia
Mkuu wewe ni mtunzi wa mashairi ya taarab nini? Umetisha sana.Mzoea udalali duka haliwezi
Mdomo jumba la maneno
Wacha waseme usiku watalala
Mpe wako muhibu, mapenzi ayahutubu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kawapeperushia ndege [emoji6]Apewe ban kidogo, kosa lake lina athari kubwa sana kwa sisi tunaotembeleana pm.
Taarab tena [emoji102]Mkuu wewe ni mtunzi wa mashairi ya taarab nini? Umetisha sana.
Yako njema mkuu [emoji119]Taarab tena [emoji102]
Yako njema mkuu [emoji119]Taarab tena [emoji102]
Wazee wa bandar tutakosa meli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kawapeperushia ndege [emoji6]
Pole na karibu tena jamvini ni changamoto na figisu figisu za maisha usijali sana dada /shemeji /daima.........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilijua tu.