Nitakumis sana Niffah

Nitakumis sana Niffah

Mi nilipoingia tu JF siku ya kwanza tu nilipoweka uzi wangu nilikula ban nmekuja kuachiwa nmekuwa tu mtazamaji mana nilijaribu kopost uzi ukafutwa
 
Mi nilipoingia tu JF siku ya kwanza tu nilipoweka uzi wangu nilikula ban nmekuja kuachiwa nmekuwa tu mtazamaji mana nilijaribu kopost uzi ukafutwa
Pole sana mkuu. Rudi tena ukasome mwongozo wa Jf
 
Hahaha. Nenda kwenye uzi wa The Bold mkuu wapo Mubashara kabisa wakisherehekea birthday
 
Back
Top Bottom