wadau poleni na shughuli za kutwa nzima. Jamani natafuta filamu ya ki nigeria inaitwa FOR BETTER AND FOR WORSE. Filamu hii imechezwa na emeka ike na genniviv naj, pamoja na yule mzee aliecheza filamu ya aki na ukwa. Filamu hii naipenda sana, nimeitafuta sana bila ya mafanikio, yeyote alienayo au kujua inapatikana wapi, no. Yangu 0755 645273. Nipo mwanza. Pls guys naomba msaada wenu.